Msaada

Audax

JF-Expert Member
Mar 4, 2009
442
195
Habari za weekend wanajamii.

Mimi nina mdogo wangu amegraduate mwaka huu. Degree yake ni ya Business Administaration in accounting. Naomba msaada wa kujua at least website zinazotangaza kazi. Kwa sasa tunatumia magazeti tu. Na hata mwenye msaada zaidi akinisaida nitashukuru pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom