Nigeria VS Iran kuna hili........

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Serikali ya Nigeria imetishia kuishtaki Iran kwenye umoja wa mataifa endapo haitatoa maelezo ya kina juu ya makontena 13 yenye silaha yaliyokamatwa mjini Lagos juzi yakiwa yametokea Iran kuelekea nchini humo. Kwa mujibu wa duru za Nigeria mwagizaji ambaye ni wa Iran alisema ni makontena ya vifaa vya ujenzi lakini baada ya kukaguliwa zikakutwa silaha mbalimbali yakiwemo mabomu na maguruneti.Haya jamani habari ndo hiyo Iran inatafuta nini huko? Nawasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom