Je pombe maana yake nini na faida zake ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je pombe maana yake nini na faida zake ni zipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Nov 11, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  TUJADIRI

  HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE
  1.) VURUGU
  2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA
  3.) UZINIFU
  4.) AJILI
  5.) INAKUTENGA NA MUNGU
  6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo
  7.) HUARIBU UTU
  9.) MAJUTO
  10.)...........
  11.).................
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  For Me,
  Pombe ni kinywaji chenye kilevi.

  Faida: Both + and -
  1. Inaingizia Pesa nyingi sana KaMPUNI YA BIA......(Makaburu) na sidhani kama wanalipa kodi sawasawa.
  2. Inaleta Marafiki uchwara wengi sana, Kama unapesa za kutosha kununulia company.
  3. Ina kuweka mbali sana na familia yako (Muda mwingi utautumia ukiwa Bar....Hivyo hata muda na familia ni mchache.
  4. Ina kufanya usahau matatizoyako kwa muda.
  5. Inakujumuisha na wanajamii na kuzungumza (zinazoitwa deals) ilanawasiwasi.....
  6. Ina rahisisha kujua siri za mlevi
  7. Ina changia Ongezeko la zinaa na Ngono zembe.
  8.
  9.
  10.

  Waweza ongezea
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Umezijuaje kama na wewe si mmoja wao?
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Sikubaliani na wewe.......... NIELEWKE VYOVYOTE VILE.........Nachambua moja moja
  1.) VURUGU ................... Vipi wale wa kule IRAQ, ALkaeda etc wote ni walevi........??? Maana wana vurugu kwa levo ya dunia ile mbaya.

  2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA.............. Si kweli, kinachomfanya mtu atumie hela vibaya si pombe bali tabia yake mwenyewe..........

  3.) UZINIFU ................ Hii ni tabia ya mtu na haisababishwi na pombe....... tunao wanafunzi wengi wazinzi lakini hawnywi pombe..........

  4.) AJILI..........Hapa nadhani ulimaanisha ajali.............. Unaweza ukatoa takwimu ajali ngapi hutokea kwa mwaka na ngapi husababishwa na pombe..........????

  5.) INAKUTENGA NA MUNGU................ Unakumbuka yesu alifanya nini kwenye ahrusi ya Kana..........??? ALibadili maji kuwa pombe........... hivi alitaka watu watengane naye...........????

  6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo ............... give figures

  7.) HUARIBU UTU.............. Hapa ndo sijakuelewa kabisaaaaaaaa................HOW...???

  9.) MAJUTO .................... Ya nini...........????


  Ulivyoteaja utadhani pombe haina faida hata kidogo............... Umeshawahi kujiuliza kwa nini watoa DAMU hushauriwa kunywa POMBE......???
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Upo juu safi sana
   
 6. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumfahamu Rais wa Brazil ni lazima na wewe uwe Mbrazil? Kama huna hoja, sikilliza za wenzako, ukipata cha kuongea utasikilizwa.
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu naona kama umekuja kwa ajili ya mbango wala si kujadiri, lakini kwa kujiridhisha naomba hilo andiko ambalo
  Yesu alibadiri maji kuwa pombe....kama kweli wewe ni msomaji na mwelewa wa Biblia harafu tundelee na maada
   
 8. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu rejea kwanza thread inasemaje then uanze kuporomosha unayoyajua
  maana sijakwambia nakunywa ama sinyi so be honest not just blah blah blah
   
 9. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  yaani ninavyosoma hii thread kuna kilauri kando " SAFARI YA BARIIIIDIII"
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Nov 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  bwanae pombe nzuri tu..... jua kiasi chako..... kunywa u enjoy.....
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  haswaa
   

  Attached Files:

 12. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
Loading...