Kwa wakubwa tuu......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wakubwa tuu.........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mu-sir, Nov 12, 2010.

 1. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Wakubwa naomba msaada kidogo. Yani kila ninapofungua subforum ya mambo ya kikubwa inagona na kuniambia i have no permission. Anyone who knows how i can solve it please help me.
   
 2. Meale

  Meale Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  omba kwa mods, kama una vigezo utaruhusiwa. Lakini unataka nini huko? Sasa hivi tupo busy na kutaka kujua mustakabali wa nchi yetu.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Mambo mawili: uko under 18 au machine yako (computer or cm) imedetect kua unataka upost ujinga! hebu mcheki Mama BIG anaweza kukusaidia maana yeye ndo mwenyekiti wa hicho kitengo
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Asante kwa ushauri japo nina nia nzuru tu kama mtu mzima yaani 18+
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Haya usijali mpwa, jaribu tena, au fungua kwanza subforum nyingine au refresh labda yaweza kukubali, ndo kagiza kameingia haka, vipi wataka uchote kaujuzi kidogo? umepata shamba jipya nini? haya all da best ila ukumbuke vitendea kazi
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Senks for doing ze nidful
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Sema utakacho wataalam watakusaidia mimi nimesaidiwa mambo ah!:yield:
   
 8. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe umeingia JF tu unakimbilia mambo ya kikubwa; kwa sasa ningekushauri ufuatilie kwa karibu zaidi nini kinaendelea kwenye suala zima la dhamana ya nchi kwa miaka mi5 ijayo....
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Kweli ni mambo ya kikubwa hayo..................
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Wewe dogo hutakiwi kwenda huko, fungua subforum nyingine utafurahia zaidi
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ahahahahaha,dah kazi kweli kweli unataka mambo ya kikubwa?
   
Loading...