Hotel ya Ghorofa 15 yajengwa kwa siku sita China:

mhhh.. noumah... mi sitoalala ndani ya hiyo hotel hata bure
 
Duuu jengo ni steel structure na wafanyakazi 200 walikuwa wanalijenga na wanasema litadumu kwa miaka 200. Wachina kwa hili wanahitaji pongezi
 
Back
Top Bottom