MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 704
Nimeipata hii sasa hivi. Ni breaking news!
Imethibitika kwamba mojawapo ya magari yaliyokuwa kwenye msafara wa Rais, akielekea nyumbani kwake Bagamoyo kwa mapumziko mafupi, imepata pancha eneo la Kwa Komba, jirani na Tangi Bovu, Mbezi Beach.
Shuhuda huyo amenitumia ujumbe mfupi, uliosema: Huwezi amini, gari ya msafara wa rais imepata pancha hapa Kwa Komba, Tangi Bovu.
Ujumbe umetumwa saa 5:17 asuubuhi, tarehe 14-11-2010
Swali: Magari ya msafara wa rais huwa yanakaguliwa matairi yake mara ngapi kwa wiki? Ina maana hili hawakuliona na kulibadilisha? Je, lingekuwa ni la rais mwenyewe, kisha likapasuka (tyre burst) na gari yake kupinduka? Angelaumiwa nani? Hawa maofisa wa Usalama wa Taifa waliopo Ikulu, chini ya Bw. Zoka (ninamfahamu...) NI WAZEMBE KUPINDUKIA!