Mchina aua raia chunya kwa kisu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina aua raia chunya kwa kisu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwalimumpole, Nov 14, 2010.

 1. m

  mwalimumpole Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kile kinachosadikika ni mambo ya mapenzi, mchina mmoja amemua kijana mwenye umri kai ya miaka 19 - 30 jioni ya leo hapa chunya
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hawa wachina sasa balaa hadi chunya wamefika? masikini nchi yangu sasa ni jamvi la wauwaji wa kigeni
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  walikuwa wanan'gan'gania dem wa kibongo au wa kichina?
   
 4. K

  King kingo JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na nyie mkamwacha huyo mchina aende zake au??
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa kichina wanapenda sana mabwana wa kiswahili na wa kizungu. Huko China wanawake ni wachache sana ukilinganisha na wanaume. Mvulana wa kichina anaweza kufikia miaka 30 hajawahi kutafuna epo. Akimpata mwanamke huwa anakuwa na wivu sana
   
Loading...