Mh.Kapuya rudi kuiokoa Bendi yako inakufa kifo cha mende.
Kuna taarifa rapa wao kanal top na daliya kabastone wamejiunga na rufita conn. Ya akina banza stone teacher na vilevile serengeti...
If you can't see this e-mail, click here.
Dear Enny,
Every year, the US State Department is giving away 55,000 Immigration Visas (also known as Green Cards) to people just like you, who wish to...
Nimekuwa nafuatilia matangazo kwenye TV kuwa kama kuna habari haijakupendeza, uwaambie. je wao ni kama mahakama? Magazeti yanayoendekeza udini na kutukana watu kama Habari leo, Al-kaida(sorry...
Daktari abaka mtoto wa ofisa usalama
DAKTARI wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Haruna Nyagoli, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa, kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike ambaye baba yake ni...
Eti inasemekana Nyanda nambari moja wa Simba s.c na Taifa Stars Bw. Juma Kaseja alikataa kutoa mkono wa salamu kwa mgeni rasmi Bw. Abas Kandoro mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Kwani huyu Kaseja na...
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matokeo ya kura za Urais ambayo Nec inatangaza hayaendani na yale ya forms za mawakala hiki ni kitendo cha aibu na ni dhambi kubwa sana, chombo...
By Salome Kitomary
4th November 2010
Mwalimu na mwanafunzi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka...
Imeandikwa na Nakajumo James, Moshi; Tarehe: 4th November 2010
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamsaka Padri Stanslaus Sala wa Kanisa Katoliki jimbo la Moshi, Parokia ya Mtakatifu Theresa...
Nikija kusikia kuwa chenge/lowasa amekuwa spika wa bunge kama wengi wanavyotabiri basi nitakuwa wa kwanza kuhamasisha maandamano ya nchi nzima ya amani au yasiyo ya amani........nikishindwa...
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.
Katika hili kuna...
UCHAGUZI MKUU 2010.
1. Zoezi hilo limekamilika, ikiwemo matokeo ya Rais, Wabunge na Madiwani. Kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Awamu ya 7 ashaapa.
2. MADAI YA KUCHELEWA MATOKEO NA...
Washtakiwa kwa kumdhalilisha Kikwete - nipashe
Mwalimu na mwanafunzi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi na kuchapisha...
Huyu Maggid ni mnafiki (hypocrite) kweli kweli. Kabla ya uchaguzi alikuwa akijikomba kwa CCM na kubeza mabadiliko kwa kukejeli kwa maneno mbali mbali kama vile kumuita Slaa ni "mti mmoja ambao...
Manka: 'Konda' wa kike anayeishi kiume Send to a friend Thursday, 04 November 2010 13:23 0diggsdigg
Stumai Baraka
Na Florence Majani
UKIMWANGALIA kwa wasiwasi unaweza kudhani kuwa ni...
Ndugu zangu wana JF,kutokana na matokeo ya uchaguzi kuchakachuliwa naona hii imekuwa kero na mkatisho wa tamaa kwa wapenda mabadiliko wote.Hapa namzungumzia diwani wa kata ya hananasif ndugu...
Mzee wetu hakuwa na hili wala lile - alisimama kwenye foleni kama mimi na wewe.
Sina uhakika kama JK & co huwa wanasubiri foleni kama hivi!
Anyways, tukiachana na hayo ya akina JK lengo la msingi...
Kwa nilivyokuwa naelewa, kabla ya uchaguzi wa Oct 31, 2010 ni kwamba Compyuta inarahisisha utendaji wa kazi. lakin katika hali ya kushangaza nimesikia matumizi ya kompyuta ndio yanayosababisha...
SOurce: Yahoo friends
Kuna taarifa zinasema kuwa; Mkapa baada ya kusakamwa sana na UFISADI,
siku moja akiwa nje ya nchi, alikutana na Mwandishi mmoja ambaye
alikwenda huko kwa ajili ya kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.