Viwanja vinapatikana

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
392
400
Jamani kwa wale mnaotaka viwanja kwa bei rahisi msisite kunipigia simu hapa 0786 046484. Viwanja vinapatikana eneo la vikawe mbele ya bunju maeneo ya tegeta.
 
Mkuu GAGL, sema bei ya viwanja ni Tsh ngapi au dola ngapi? harafu ukubwa wa kiwanja ay kwa lugha nyingine specifications ni mhimu sana.
 
Jamani kwa wale mnaotaka viwanja kwa bei rahisi msisite kunipigia simu hapa 0786 046484. Viwanja vinapatikana eneo la vikawe mbele ya bunju maeneo ya tegeta.

Mbele ya Bunju si Mapinga?
 
bunju ni bunju na tegeta ni tegeta!hapo unatuchanganya.vimepimwa?ukubwa?bei?plz
 
Bei ndio kitu muhimu zaidi.
Mfano ekari moja sh.400,000/- n.k
Tupe bei GAGL.
 
Jamani kwa wale mnaotaka viwanja kwa bei rahisi msisite kunipigia simu hapa 0786 046484. Viwanja vinapatikana eneo la vikawe mbele ya bunju maeneo ya tegeta.

Jibu hoja za wadau,ukianzisha hoja usicheze mbali na jukwaa. Ona sasa watu wanataka majibu wewe uko kizani.
 
Sikuweza kutoa jibu kwa wakati ili nipate muda wa kupata uhakika. Nimejibu kwenye post mpya hapo juu, imeandikwa Viwanja Comfirmed.
 
Back
Top Bottom