Tangu BSS imeanza cjawahi kuwa na interest ya kuiangalia lakini leo imetokea nikiwa pande za Mikumi ambapo tumecmama kupata msosi ndo nimemuona. Dah jamaa anawabamba kichiz kwa sababu ya kujua kiswahili ndo maana ana draw attention ya watamazaji. Kwa kweli ni mzuri.dah kanitokea na kitu Vaileth......jamaa anabamba mbaya kabisa