Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,624
Chama cha mafisadi kimemchagua mheshimiwa Jobb Ndugai kugombea unaibu spika kwa ticket ya chama hicho baada ya kumpitisha kwa kura 197 kati ya kura 198 na kura 1 iliharibika. Waliokuwa wanagombea nafasi hiyo walijitoa kwa sababu tofauti hivyo akabaki peke yake. Na CHADEMA nao wamempitisha bwana Mustapha Akonai kugombea kiti hicho kwa tiketi ya chama hicho. Source Tbc.