Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna mgogoro mkubwa kati ya tbc na Star com
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kulipua nairobi habari zaidi zinasema jamaa wametangaza nchi zinzofwatia ikiwemo tanzania......,katika hili uwanja wa ndege wa dar umeongezewa ulinzi wa ajabu ambao kwa wengine ni ker...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kijiji chadai hakina maji tangu uhuru Na Raphael Okello, Rorya WAKAZI wa Kijiji cha Panyakoo, Kata ya Goribe wilayani Rorya mkoani Mara wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwapatia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido. Wanajf mbeya tunaomba updates.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nimewakweza kwa kutuma thread mpya na hamkuipenda mamods mtanisamehe! ila nataka kujua kitu gani nimefanya wrong kutetea JF ktk kitu nilichoona very unethical! naomba sababu ya kuifuta thread...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ndugu zangu watz, sisi hatuna sababu yoyote ya kushindwa kuendelea kama China, Japan, Malyasia n.k nchi ambazo back to 50s tulikuwa tunalingana nao_kilichotufikisha hapa ni mfumo duni Utawala...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Khamis Mgeja, amesema hana nia ya kufanya malumbano na Anne Killango Malecela kwa kuwa halingani naye na anamheshimu sana . “Sitaki kufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi huko na humu JF. Kuhusu ushirikina...ukihusishwa na wataalam wa jadi..hata utabiri. Vizuri kufaham maana halisi ya ushirikina...kisha ifuatie kuleta uzushi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naanzisha mdahal/ mjadala Je kuna mteule yeyote kwenye nafasi ya siasa(Rais,waziri,etc) na sifa za umanagerau wote tulionao wana sifa za uongozi/ u-leadership pekeee? Waliopewa madaraka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkoa wa Iringa yawezekana unaongoza kwa watu kuamua kukatisha uhai aidha kwa kujitundika au kwa kunywa sumu ukilinganisha na sehemu zingine. Huyu ni askari wa kampuni ya ulinzi Force group...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Ajabu karibu mwaka na nusu watu wamakongo juu wamewekewa mabomba kwa mradi wa wachina. Lakini cha ajabu maji hayajawahi toka hata siku moja na mabomba yashaanza kuibwa na yamepata kutu.. Hivi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana JF na wapenda maendeleo. Leo asubuhi (saa 12) nilikuwa nasikiliza kipindi cha BBC na walikuwa na Makala ya Kimasomaso kuhusu Rwanda. Mchangiaji alikuwa mmoja wa mawaziri (nadhani Waziri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WATU saba wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutekwa na abiria kuporwa vitu mbalimbali na majambazi. Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Liberatus Barlow, alisema tukio hilo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
ILIKUWA kama filamu kwa wakazi wa Dar es Salaam jana wakati baadhi ya viongozi na wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), walipolizidi maarifa Jeshi la Polisi katika kuhakikisha wanafanikiwa kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WATU wanne, akiwamo mwanafunzi wa shule ya sekondari, wamekufa kwa kujinyonga katika matukio tofauti wilayani Singida na Iramba kati ya Desemba 18 na Desemba 26 mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello people! Naomba mnijuze, kuna umuhimu gani wa kubadili rangi ya noti ili hali thamani inabaki pale pale? Ina maana jitihada zetu za kuinua uchumi ni rangi ktk noti zetu. Wachumi naombeni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naona DR Slaa anaweka vitu vya maana sana kule FB si vibaya tukapeana na sisis na tuvijadili hizi ni za leo ""Watanzania tunataabika kwa maamuzi yetu wenyewe.Tuna miaka mingine mitano ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Hivi ni experience yangu tu ama ni wote? Maana nimegundua kwa siku tano sasa roads za Dar zimepungua foleni, sijua wakazi wa mji huu wamepungua ama ni aje wadau! Tujuzane KULIKONI!!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
whether you are a man or a woman; if you are a woman,you're safe if you're a man,two things involves whether you,ll work as a civilian or military. If civilian you're safe but if military,two...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Harakati ya mabadiliko ya kweli huanza kama wazo la mtu mmoja na kutoa ushawishi na msukumo kwa wengine kama kikundi na mwishowe jamii kwa ujumla ikiunga mkono wazo husika. Itakumbukwa kuna Post...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom