Monday, November 29, 2010 5:17 AM
Pamoja na serikali ya Marekani kuionya tovuti maarufu ya kutoboa siri zilizoficha ya WikiLeaks kutoziweka nyaraka zake za siri...
Watu hawakumpenda huyu dada kutokana na rangi ya ngozi yake na inasemekena hata kamati ya Lundenga haikumpa ushirikiano kwa sababu alikataa kutoa epo. Sasa kati ya mamiss Tanzania 16 tuliowahi...
Habari ndugu wana jamii,hoja yangu leo ni kuhusu ndugu zetu wa usalama nikimanisha polisi,nimekua nikiona kwenye vyombo vya habari mara kwa mara kuhusu ndugu zetu hawa hasa wa kanda maalum ya dar...
Naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi-Police rank,yaani akitokaahuyu Inspector general,anayefuatia ni nani mpaka kufikia ngazi ya mkoa..
Hakika nimeamini kuna kazi zingine waweza fanya just kupata mlo kinywani lakini hzi za manesi na udk ndugu zanguni mnaetarajia kusomea sio za kukimbilia kwa ajili ya mlo..hizi zinaitaji wito...
Failure namba moja. Kabla hata Bunge halijaanza rasmi.
Makinda alishindwa kuepusha Rais wake kuaibika mbele ya Watanzania. Alishindwa kuwashawishi Chadema wasimuaibishe Rais wake.
Spika gani...
My friends wote katika JF, leo nimeamua kutoa dukuduku langu ambalo limekuwa likinisumbua sana nafsi yangu kuhusu utendaji wa hawa watu wa TRA (haswa pale Dar port customs). Kuna kamzigo kamzigo...
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu
Wadai Rais Kikwete ana kigugumizi kuwateua
BAADHI ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), hasa wenye maslahi na nafasi kadhaa za uteuzi, wanadai kwamba Rais Jakaya Kikwete anakosa uamuzi...
BARAZA la Mawaziri 50 lililotangazwa na Rais Jakaya Kikwete Jumatano wiki hii limebeba idadi kubwa ya mawaziri wengi walio na majeraha makubwa ya kisiasa, kiuongozi, kimaadili na kitaaluma...
nimeanza kupevuka na kuijua siasa enzi za utawala wa mwinyi na mkapa. niliwahi kuambiwa kama siyo kusoma somewhere kuwa vikao vya baraza la mawaziri ni siri. Mliokuwa mmepevuka enzi za nyerere au...
Sadick Mtulya
WAKATI mawaziri na manaibu wawaziri wakikabidhiwa magari mapya, baada ya kuapishwa Jumamosi iliyopita, serikali imeibuka na kusema sio mapya ni ya zamani.
Kauli hiyo inaibua...
Tanzania Tourism Today: Facts & Figures
Tourism plays a key role in the country's economy; it is one of the main sources of foreign exchange and it offers employment opportunities both directly...
Kifungu cha 63 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaanisha wazi majukumu ya Mbunge kuwa "Kuisimamia na Kuishauri Serikali". Maana yake ni kuwa haiwezekani watanzania wote tukaende...
Great thinkers.
Kuna njia mbali mbali za kuupa ubongo wako chakula.
Isaac and Albert were excitedly describing the result of the Third Annual International Science Fair Extravaganza in...
Juzi nilimsikia Hamad Rashid akikiri kuwa kamati waliyoiunda na vyama vingine vidogo vya siasa haitambuliki kikatiba wala kikanuni.
je kwa kukiri hivyo Hamad ataleta mbu bungeni, au ataongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.