Jamani swali langu lisichukuliwe ni utanai ama vipi...nimejiuliza sana, kama tungekuwa tunaandika kwa kutumia mkono I mean hand writing, watu wanaoandika PUMBA mfano MS miandiko yao kutokana na...
Help Police! Someone's Stolen my Snowman
As Arctic blizzards swept across southeast England, stranding hundreds in their cars and bringing motorways to a virtual halt in whiteout conditions...
Mimi ni mwajiriwa katika Taasisi moja ya Fedha hapa nchini,wafanyakazi kwa ujumla tumekuwa tukilumbana na mwajiri wetu juu ya mikopo ya wafanyakazi(staff Loan) kwani ni midogo na isiyo kidhi...
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba ambapo jumla ya wanafunzi 478,912 sawa na asilimia 53.51 ya waliofanya mitihani wamefaulu wakiwamo wasichana...
Mkurugenzi wa Tanesco,William Mhando
Leon Bahati
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema linakusudia kukata rufaa kupinga hukumu inayowataka kuilipa kampuni ya Dowans fidia ya...
nimiona katika Wavuti. com kuwa TANESCO wameanzisha UMEME BLOG(Umeme Forum)....
SWALI... wana dhamira ya kufanyia kazi matatizo au ndo zuga za kuzidi kula hela...?!:angry::angry:
Nimesikitishwa sana kusikia kuwa Ndani ya Tumaini University kurasini campas wahadhiri hawaingii madarasani. huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia? Je, pesa yetu waliyopokea...
Vijana waishio eneo la Kikwajuni wamekutwa wakivuta madawa ya kulevya hadharani, hii inatokana na kasi kubwa ya vijana wa Kizanzibari kujihusisha na madawa ya kulevya. Taarifa hii imeonyeshwa na...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Peter Slaa, amesema halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji kote nchini zitakazoongozwa na chama hicho, zitakuwa ni...
Mimi na rafiki yangu siku moja tulifedheheka vibaya, ilikuwa hivi; Enzi zile tukiwa shule, Wakati wa likizo nilikwenda kwa rafiki yangu kumtembelea kwao. Home kwao kulikuwa na nyumba kubwa na kila...
Jumla ya wanafunzi 456,350 sawa na asilimia 95.3 kati ya 478,912 ya waliofaulu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu, wamechaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2011 katika shule...
Wanafunzi wa vyuo vikuu vishiriki vya Tumaini Kampasi ya KCMC na Kampasi ya Masoka katika Manispaa ya Moshi, jana na juzi waliingia katika mgomo wa kutokuingia darasani ili kuushinikiza uongozi...
Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) kimesema hakitasita kuwachukulia hatua madiwani wake pale watakapobainika kuwa wanaongoza bila kufuata misingi ya utawala bora pamoja na kujihusisha na...
BAADHI ya wafanyakazi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, wamesema wamekuwa wakifanya kazi lakini wakiwa wanaendesha mgomo baridi unaotokana na matatizo mbalimbali...
POLISI mkoani Tabora, wamewaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na kufanikiwa kukamata bunduki aina ya SMG, magazine tano, risasi 165 na bomu la kutupa kwa mkono.
Kwa mujibu wa...
WAKATI kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi zikiendelea, mgombea ubunge wa Jimbo la Tandahimba ana mpango wa kufungua kesi tofauti; kumshtaki kamanda wa polisi wa mkoa kutokana na askari wake...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 47 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu waliokamatwa baada ya msako mkali uliofanikisha kukamatwa kwa magari 12 ya wizi, pikipiki...
KATIKA kuhakikisha fedha za mfuko wa maendeleo ya jamii zinafanya kazi zilizokusudiwa kwa ajili ya ustawi wa nchi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Uhusiano wa Jamii na Uratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.