Polisi na Waalifu

Kilinzibar

Senior Member
Mar 6, 2008
125
0
Habari ndugu wana jamii,hoja yangu leo ni kuhusu ndugu zetu wa usalama nikimanisha polisi,nimekua nikiona kwenye vyombo vya habari mara kwa mara kuhusu ndugu zetu hawa hasa wa kanda maalum ya dar es salaam kukamata wahalifu na silaha,sasa hoja yangu nikuwa kwanini hawaja polisi wanaposema wamekata majambazi sugu kila mara hawatuoneshi? angalau wananchi tuwajue mana kila siku wanakamatwa hawatuoneshi sasa tutajuaje kama hawajamaa wanafikishwa kunako husika? mana usikute majamaa wanarudi mitaani wanafanya mambo yao tena then wanakamatwa tena alafu inaripotiwa tena sasa hii si ni kama tunapigwa changa la macho?!! watuoneshe tu tukiwaona mtaani kama hajachukuliwa hatua ili tujihadhari kiulinzishirikishi...nawakilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom