Richa adhia na foundation yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richa adhia na foundation yake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Nov 30, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Watu hawakumpenda huyu dada kutokana na rangi ya ngozi yake na inasemekena hata kamati ya Lundenga haikumpa ushirikiano kwa sababu alikataa kutoa epo. Sasa kati ya mamiss Tanzania 16 tuliowahi kuwa nao (including HOYCE TEMU aliyelia machozi kupinga ushindi wa Richa), ni nani aliyeitambua zaidi jamii yake ya watanzania zaid ya huyu dada.

  Tujifunze kuchambua watu kwa matendo yao na uwezo wao zaidi ya muonekano ngozi za miili yao. Mara jamaa fulani ni handsome kwa hiyo labda atakuwa rais mzuri, halafu ................
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Waswahili walisema zamani "Baniani mbaya, kiatu chake dawa", kwa kutujua kuwa hatuchoki kuwasema na kuwanyanyasa watu wasio na rangi zinazotupendeza lakini kitu chake chema hatuachi kukichukua.

  Tujifunze kuwa uzalendo wa mtu hauko kwenye rangi yake wala kipato cha familia yake, mzalendo anaweza kutoka katika familia yoyote ndani ya jamii.

  Tusubiri kuwahukumu watu kwa matendo yao, na sio kwa asili au rangi zao.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  I wish ije ifanye kweli badala ya kuwa kichaka cha kuchumia matunda pori! Best wishes
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Waandishi wetu wa Habari!! Makala yoote ameshindwa hata kuuliza tu jina la Foundation yenyewe achilia mbali phyiscal address na kadhalika! Au vipo ni macho yangu mi yamezeeka? Unless si lazima Foundations ziwe na names??
   
Loading...