Chadema wakae kimya tu

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu
 
Wamekaa kimya au hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza?
 
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu

do u think kukaa kimya ni solution? mi nawashauri they have to stand up to the last drop
 
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu

nina mashaka na utimamu wa akili zako mantiki hamna kabisa katika hoja yako! kimya halafu?
 
I completely agree with you the guy doesnt seem to know what he is talking about.Wakae kimya ili nini?Kwani midomo wamepewa ya nini?.Huyu bwana must really be insane na pia a really idiot kwa kweli.He doesnt seem to know anything about politics.
 
wakae kimya tu! Ukikosa cha kuandika unaamua kupost schlock! tafadhali ufanye ubongo wako ufikiri vizuri upright, vinginevyo utavia!
 
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu
Wakae kinya? By whose authority/command? Do you mean to tell us you are the one to tell Chadema to stop talking? For whose benefit? Ya kwako ya wana CCM wachache? Wananchi unaosema wako kimya ni akina nani? Ni wewe hapo? Can you possibly represent majority of Tanzanians who are tired, poor, frustrated ,used, and misused by CCM all these years!!! It is really sad that our country still has people of your kind, however few you may be; you are a disgrace to this nation
 
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu

Wakae kimya ili nguruwe (ccm) wamalize shamba?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom