Bongo inakuwaje vyuo hasa vyuo vikuu vyenye hadhi haviweki prospectus kwenye mtandao ili prospective students wakasoma na kujua course contents ya programs mabli mbali wanazotaka kusoma?
1. Mtoto ananunuliwa hospitalini
2. Kufanya sex/ngono ni mambo ya ma balaa(ya kishetani)
3. Mtoto wa kiume hatakiwi jikoni atakuwa na tabia za kike
4. Mtoto wa Kiume haoti moto
NB: no. 3 & 4...
Aibu gani?
Amkeni.
Nyerere alishakufa.
Wamebaki wezi tu.
Watu wanatoka Pwani na India kuja kuchota madini kwenu. Munaachiwa mashimo na vumbi.
Mumelala.
Wenzenu Mwanza kula mapanki tu wameona...
MAGAZETI YAMEANZA KUFILISIKA:
MAJIRA kama mnakumbuka walikuwa na domain yao, inasemekana walishindwa kuilipia ikazuiwa na sasa inauzwa kwa mwenye pesa yake, hapo nimewapa hint ndogo (usiulize...
BAADA ya kukamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kuliapisha hivi karibuni, Rais Jakaya Kikwete ameendelea kupanga safu zake za watendaji katika ngazi mbalimbali baada ya ushindi wa Uchaguzi...
Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema haijulikani ni mgawo wa nishati hiyo ambayo mkoani Dar es Salaam, imekuwa ikipatikana kwa njia hiyo, utamalizika...
Hili ni ngumu kuamini lakini kazi tulioianzisha naona shuguli yake imeanza
kwa upende wa kawe wapendwa kuna sehemu tulishabikia sana chadema na kufikia
kutoa wake zetu kafara wasipoipigia chadema...
Wandugu,
hebu nisaidieni kufafanua huo haya maneno hapa; "Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara".
Ni kweli jogoo hua anawika kwa busara? Na kama ndio, kwani viumbe wengine, ukiwaacha wana-wa -...
Mali zilizookolewa na polisi Mbeya 'zayeyuka'
Na Rashid Mkwinda, Mbeya
WAFANYABIASHARA wa Soko la Uhindini lililoungua moto usiku wa kuamkia jana jijini Mbeya wamelilaumu Jeshi la Polisi...
Mbega ameondoa hadi mapazia ofisini-Mbunge
Tumaini Msowoya, Iringa
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini...
IMEZOELEKA sehemu nyingi duniani kusikia kesi nyingi za ubakaji huwahusisha wanaume. Lakini yaliyotokea Papua New Guinea yameshtua ulimwengu baada ya kesi ya kijana mdogo wa kiume kubakwa na...
Naomba mwenye jibu anijuze... Ni vipi tumefika hapa tulipo sasa.
Rushwa sasa imekuwa kama kitu cha kawaida, wafanyakazi serikalini hawakupi huduma eti mpaka uwape takrima.... Wamegeuza shughuli...
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa amedai kuikuta...
Mimi si waziri mpole-Kawambwa
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa amesema yeye si waziri mpole kwa sababu ya kutotema cheche kama wenzake, bali ni mkali kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.