Kero za TRA! Msaada!


LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
2,081
Likes
314
Points
180
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
2,081 314 180
My friends wote katika JF, leo nimeamua kutoa dukuduku langu ambalo limekuwa likinisumbua sana nafsi yangu kuhusu utendaji wa hawa watu wa TRA (haswa pale Dar port customs). Kuna kamzigo kamzigo kangu(motokali) kamefika 2 months ago hapo, ila mpaka kufikia usawa huu kichaa karibu kitanipanda jinsi ninavyoteswa! nimepoteza dira wala sielewi haswa wanataka nini! wameulizia docs zote lakini still nazungushwa! iam loosing it big time!! i need advises my friends! na pia hivi kuna uwezekano wowote wa kumuona mtendaji mkuu na huwa wana utaratibu gani kumuona sababu niliulizia hapo na walinipa visirani na wakakataa kunipa procedures za kumuona mkubwa wao! Hivi wadau mnamjua huyo kamishna wa TRA na anaitwa nani?? naomba msaada huu! it is getting Ugly!!:puke:
 

Forum statistics

Threads 1,236,522
Members 475,174
Posts 29,260,682