Kambi ndogo ya upinzani bungeni inaleta mbu au nzi??

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,255
77
Juzi nilimsikia Hamad Rashid akikiri kuwa kamati waliyoiunda na vyama vingine vidogo vya siasa haitambuliki kikatiba wala kikanuni.

je kwa kukiri hivyo Hamad ataleta mbu bungeni, au ataongeza idadi ya nzi watakaochafua harufu nzuri ya wabunge wa Chadema??
 
Kazi bado ipo hapa ila Hamad Rashid anatafuta umaarufu tu kwa sasa na inawezekana anatumiwa! kwanini iwe yeye tu mbona akiwa kiongozi wa kambi ya upinzani hakuweza kushirikiana na wenzie?
 
Back
Top Bottom