Kushindwa Kuwashawishi Chadema, Makinda Aachie Ngazi

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Failure namba moja. Kabla hata Bunge halijaanza rasmi.

Makinda alishindwa kuepusha Rais wake kuaibika mbele ya Watanzania. Alishindwa kuwashawishi Chadema wasimuaibishe Rais wake.

Spika gani? Kama angekuwa Sita mimi ninaamini angewaita Chadema na kuwaweka sawa. Wasingetoka. Lakini Mrs. Jaziba/Hasira yeye alikuwa akitwita bila msaada wowote. Rais wake akaaibika. Anapanga cha 'kuwafanyizia' bunge litakapoanza. Atarajiwe kushindwa. Kuaibika!

Nchi za wenzetu, Makinda angeachia ngazi mwenyewe. Amechangia 50% ya kumuaibisha Rais wake.

Kwa sababu kwa kushindwa kwake kuwashawishi Chadema kidemokrasia, nasema kidemokrasia. ni total failure kwa mtu anayejitapa kuwa anauzoefu na mambo ya Bunge.

(Jamani joto limeanza Dar).
 
Sasa wewe Ng'wanangwa hicho ki-laptop kweli kitastamili hilo jinundo au umekichoka? Pole na joto hamia kwetu Njombe sie tunatesa na makoti yetu.
 
Huyu maza namheti kama fisadi yo yote nikikumbuka historia yake huko nyuma jinsi anavyokumbatia mafisadi. I declare to hate her for reasons licha ya ile ban nilkula kwa kumtusi.

Inafact hana uwezo wa kufikiri vile maana anawachukia CHadema na anawaogopa . Mwisho wa siku anasahau kuwa ulikuwa wajibu wake kuweka mambo sawa. Huko baadae utaona jinsi atakavyotekeleza matwakwa ya mafisadi ili kurudisha zile hela alizopewa ili agombee uspika akikwepa techinical issues za bunge na hapo ndipo atatambua Lisu na wenzake ni kina nani.
 
Naunga mkono hoja! Alichoshindwa sio kushawishi CDM wasitoke tu, bali pia hata wabunge wa sisiemu kupiga makelele kwa kuzomea. Unajua Bungeni unaruhusiwa kutoka nje kama kuna kitu hukitaki kitendeke lakini huruhusiwi kupiga kelele bila kibari cha Spika. Sisiemu walipiga kelele. Labda tuombe mwongozo toka kwa Spika nini hukumu yao?
 
CCM walipokuja na sera yao kuwa kupindi hiki ni zamu ya ladies wakasahau kama ilivyo ada kwao kuwa upinzani mijianaume imeongezeka,sasa subirini kuona knock-out ndani ya sekunde.Chama chetu cha ukombozi kisingechakachuliwa Ng'wanangwa ungeweza kuafford kiyoyozi na bill ya umeme lakini usikate tamaa mafisadi wakakununua najua joto umelizoea.
 
Kama kushindwa kuwazui wabunge wa Chadema wasitoke ni failure, basi kitendo cha kutoka hakifai. Na kama kitendo hicho hakifai, basi wa kulaumiwa ni watu wazima wabunge wa Chadema walioamua kufanya kitendo kisichofaa.
Ni sawa na mtu anaamua kuvua nguo hadharani, halafu unawalaumu walio karibu naye kwa kutokumsitiri. Kama aliyevua nguo ana akili timamu, hakuna mwingine wa kumlaumu kwa upuuzi wake.
 
Sasa wewe Ng'wanangwa hicho ki-laptop kweli kitastamili hilo jinundo au umekichoka? Pole na joto hamia kwetu Njombe sie tunatesa na makoti yetu.
Ntemi Kazwile
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri May 2010
LocationBongo salidalam
Posts879Thanks756
Thanked 308 Times in 161 Posts

:help:
 
uamuzi wa chadema ulikuwa wa kichama, yeye hahusiki na hata wakitaka wanaweza kuendelea tu hayo ni mambo ya kawaida ch amsingi shughuli za serikali na bunge zinaendelea mbele
 
Huyu maza namheti kama fisadi yo yote nikikumbuka historia yake huko nyuma jinsi anavyokumbatia mafisadi. I declare to hate her for reasons licha ya ile ban nilkula kwa kumtusi.

Inafact hana uwezo wa kufikiri vile maana anawachukia CHadema na anawaogopa . Mwisho wa siku anasahau kuwa ulikuwa wajibu wake kuweka mambo sawa. Huko baadae utaona jinsi atakavyotekeleza matwakwa ya mafisadi ili kurudisha zile hela alizopewa ili agombee uspika akikwepa techinical issues za bunge na hapo ndipo atatambua Lisu na wenzake ni kina nani.

kweli umeonesha kwa vitendo kuwa unamchukia, hivyo hujatoa hoja kutetea hoja yako. Infact umeonesha chuki binafsi tu. Love some one before you judge her. Tueleze alikumbatia vipi mafisadi.
 
Sasa wewe Ng'wanangwa hicho ki-laptop kweli kitastamili hilo jinundo au umekichoka? Pole na joto hamia kwetu Njombe sie tunatesa na makoti yetu.

Nakushangaa sana kwa matazamo wako. Hivi, akunyimae kunde si akupunguzia mashuzi? Kama ndio, nadhani jibu umelipata.

Halafu uelewe kwamba Chadema hawajamuaibisha Rais hata kidogo. Wamejiaibisha wao, kwani mpka leo wanasutana wenyewe kwa wenyewe kwa kitendo hicho. Na wengine tumewaona humu JF walikuwa na msimamo upi katika hilo.

Rais anapeta kama kawa.
 
Cha msingi??? Kile kinachodaiwa na Chadema, kitekelezwe kwa manufaa ya Watanzania wote.Kwamba kuna mtu kadhalilishwa au kashindwa kuwazuia hayana maana sana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom