Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 642
nimeanza kupevuka na kuijua siasa enzi za utawala wa mwinyi na mkapa. niliwahi kuambiwa kama siyo kusoma somewhere kuwa vikao vya baraza la mawaziri ni siri. Mliokuwa mmepevuka enzi za nyerere au wenye ufahamu kuhusu hili nitoeni ushamba maana nashangaa kuona baraza la mawaziri la jk habari zake zikitangazwa. naombeni muwe fare tu ni suala la ufahamu tu.
mhe. mkiti wa jf naomba kuwasilisha
mhe. mkiti wa jf naomba kuwasilisha