Viongozi punguzeni ziara hatuzitaki

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Viongozi hatutaki ziara please?? Mmeanza ziara tu, mara kwenda kufungua majengo, waachie wakuu wa mikoa, tunataka msolve issue mhimu kama ajira, elimu, maji, afya, miundo mbinu na michezo.
WAZIRI MKUU, RAISI NA SPIKA HATUTAKI ZIARA ZA KILA MARA, KUFUNGUA MAJENGO MARA LEO UKO MZA, ARUSHA, MBEYA??? HIZI NI KAZI ZA WAKUU WA MIKOA. MWISHO TUMEONA MAKINDA AMEANZA ZIARA YUPO NAMIBIA??? ZIJUI AMEENDA KUFANYA NINI HUKO???
 
Back
Top Bottom