Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sababu za kuchelewa ujenzi Barabara ya Mandela zatajwa Kutokamilika katika muda uliopangwa kwa ukarabati wa barabara ya Nelson Mandela jijini Dar es Salaam kunatokana na sababu za kiutendaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa mkuu kakasirika mbona sehemu niliyoizoea hakuna??New post??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ushindi wa chama cha CUF wa viti vitatu kwenye ngome ya chama cha mapinduzi inadhihirisha kuwa chama hiki ni cha wa wazanzibari wote tofauti na CCM ambayo huishia kupata viti upande wa unguja tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika karatasi za ndani za gazeti la Tanzania Daima la leo Waziri wa Mambo ya nje imeripotiwa kuwa alionja joto la jiwe................... Hii sasa itakuwa ni mara ya pili kwa Mheshimiwa huyu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ninawatakia wa-Tanzania wote, uchaguzi wa baraka na amani. Na iwe kwetu kile ambacho ni chema Mungu amekusudia kwa Tanzania kitokee. Katumie haki yako nenda kapige Kura. KAM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuanza kununua gari na kujenga nyumba, kipi bora na muhimu kwa kijana wa leo?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwanini Baraza la sanaa la taifa na wizara ya utamaduni isiendeleze viduku na mapanga ya TMK kuwa sehemu ya nembo ya taifa (dance) katika mataifa mengine...kama ilivyo kwaito ya south africa au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za kushangaza kutoka jiji la Mwanza! Jiji lenye wakazi wengi la pili nchini ! Hivyo ni jiji lenye mwammko mkubwa katika masuala ya kisiasa!!! Cha kuchangaza ni kwamba tangu jumapili ya 23th...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anasema anaomba nimchague mabaya yote aliyofanya atayarekebisha vipi inamaana watu wote mmepigiwa simu? Nimepigiwa kwa namba hii:+255754777777
0 Reactions
22 Replies
3K Views
:thinking:Kuna taarifa zinasema kuwa; Mkapa baada ya kusakamwa sana na UFISADI, siku moja akiwa nje ya nchi, alikutana na Mwandishi mmoja ambaye alikwenda huko kwa ajili ya kupokea Tuzo, baada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanawake popote mlipo changamkieni hiyo scholarship.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baanda ya kazi ngumu na wakati tunasubiri mavuno, naomba mburudike na hiki kitu, ...very natural and truely African. I Love you all... DC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AP – The STX Finland shipyard's vessel The Allure of the Seas sails out on Friday Oct. 29, 2010 from the shipyard …...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamii, naomba kuuliza nitawezaje kuangalia stesheni za television za nyumbani TBC/ ITV kwa kupitia satelite? kama kuna mtu ana uzoefu huo naomba msaada. asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo asubuhi kupitia TBC1 Kawambwa amekanusha tuhuma za matundu 4 kwa 700m, badala yake yeye anasema yamejengwa kwa laki 7. Ila alikua anaonekana hayuko secure na alichokua anaongelea.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
AFRICAN LEADERS Abdulai Wade (Senegal) age 83 Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82 Robert Mugabe(Zimbabwe) age 86 Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) age 74 Rupiah Banda ( Zambia ) age 73 Mwai...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Habari wana JF, Ningependa kuwajuza kuwa kuanzia 1st November 2010 kwenda South Africa kwa mbongo yeyote mwenye kumiliki PassPORT halali hatahitaji VISA. Kwa wajasiliamali na wasomi hii ndo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
YouTube - From Slavery to Segregation to the Presidency
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf, zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kupiga kura ni vema tukahakiki uwepo wa majina yetu kwenye orodha ya wapiga kura. Temberea tovuti ya nec uhakiki jina lako.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom