Manesi wa muhimbili wamelaaniwa??embu jirekebisheni


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,876
Likes
8,694
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,876 8,694 280
Hakika nimeamini kuna kazi zingine waweza fanya just kupata mlo kinywani lakini hzi za manesi na udk ndugu zanguni mnaetarajia kusomea sio za kukimbilia kwa ajili ya mlo..hizi zinaitaji wito nasema hivi kwa kumaanisha....kuna wadi ajuzi tuliingia kumwangalia kaka yetu mmoja mwaisela tukamkuta bibi mmoja amevunjika mguu ametekelezwa kwenye koridor huku akilia na kuomba msaada..kwa kweli inauma alikuwa akitaja na kuita wajukuu zake majina ya watotot na mjomba ..kwa bahati mbaya nduguze wa karibu walichelewa kuja na awakuwa na uwezo kivile wa kuwafurahisha ma nesi kama wanavyozoea kupewa pesa za ahsante..nilipofwatilia kwa nesi akathubutu kusema unajua kaka kila nesi ana roho yake usituone hivi hapa..nikamwambia kwa nini akasema huyo bibi mguu umevunjika ajabu ameletwa jana na manesi waliotoka akaachwa hapo..nikamwambia kwa kuwa ameachwa hapo ni sawa na wewe umwache hapa..je wd3 ni wad ya mifupa ama imegeuka kuwa MOI..akasema naomba uniache na kazi zangu nina majukumu mengi nikamwambia kwani haya ninayokwambia nakukaribisha rosegarden kunywa bia ama ni moja ya kazi akaondoka akihisi ni soln..gafla nikaamuka nikampgia mkuu mmoja wa moi aksema nimpe wad namba na yuko upande gani ..kwa bahati mbaya nikaondoka...nilisikitika sana sana saana kuona bibi ana umri zaidi ya miaka 80 akilia kama mtoto mdogo akaanza kuomba maji chakula nikampatia cha mgonjwa wangu kwa kuwa alikuwa akiletewa na usiku.....leongo langu nini nini si kuwakuwasema manesi wa MUHUIMBILI pekee ni pamoja na nyie mnaosoma kuwa manesi angalieni sana hii kazi ni inaitaji wito na upendo wa MUNGU na si kuonekana uko mwananyamala /muhimbili/ katika moja ya mambo nilimwomba mh mmoja ni kuwabadilisha hawa manesi

Muhimbili imekuwa hospital nzuri sana lakini kuna manesi wana roho za YEZEBELI PURE...yaani ukimwona anavyojibu wagonjwa huamini na zaidi anamjibu mzee babu kuliko mama yake ama babayake ila kwa kuwa yuko muhimbili akuna anaemgusa ..wanafikia kuwatukana wagonjwa wetu hawa punguani tuliowaamini kututunzia wapendwa wetu naomba niwahabaridhe uchafu mwingine wanaoufanya pale muhimbili

WIZI WA DAWA

Kumekuwa na shetani wa wizi wa dawa za wagonjwa wanazoitaji kupewa kila mara..nasema hivi naamaanisha ndugu yangu alielazwa aliandikiwa dawa kadhaa kupewa ndani ya siku 5 amini usiamini tukaanza kumuuliza ikiwamo na sindano..yule br akusita kusema walimpiga sindano mbili tu siku tuliokuwepo na inayofwata..tukawauliza madk wakasema mbona tumeandika siku tano na siku hiyo tunaulizia tunakuta ameandikiwa kutoka..hakika nilichachamaa nao nikaulza imekuwaje wapendwa hizi dawa zingine za siku 2 zinakwendaga wapi nilipoanza kilalama wakaanza kuondoka..nimelifikisha kunakotakiwa ingawa kitanzania huwa wanalindana ila natumaini MH WAZIIRI WA AFYA/MJOMBA WAKO KAKA MAMA BABKO NA NDG WENGINEO WAWEZA KULAZWA HAPA HILO ALIKWEPEKI..NAOMBA POPOTE ULIPO FUATALIA HAYA MATATIZO YA MUHIMBILI ZIPO NJIA ZA KUWEZA KUFANIKIWA KWA HILI

1))KUWEPO NA RTNE CHK ZA WAKUBWA KUANGALIA MARA KWA MARA JE MANESI WANAFANYA KAZI ZAO IPASAVYO WODINI AMA LAH NA SI KUISHIA KUJAZA MATUMBO YAO KWA CHAI ZA MAZIWA MAOFISINI MWAO MARA KWA MARA...NA KAMA IKITOKEA WD INALALAMIKIWA MARA KWA MARA MSIACHE KUTIMUA MTU KAMA HUYU NA KUMEPELEKA KIMANZECHANA WILAYANI HOSPITAL...

2)TUNAOMBA MUWE MAKINI KATIKA SWALA LA MALALAMIKO YA WANANCHI..WAZEE WENYE UMRI ZAIDI YA 70 INAJULIKANA AWALIPI MAJUZI NIMEKUTA BILA AIBU MAMA MMOJA ANALALAMIKA NA MAKARATASI KACHAJIWA LAKIMOJA NA 20 BILA AIBU NA HII YOTE WANAUME KWA WAKUBWA WALIKUWA WANAKWENDA KUILA NIKAMWONYESHA CHANNEL YA KUFWATILIA NA KUMPA NAMBA YANGU YULE MAMA NINAVYOONGEA LEO HII ANAENDA KURUDISHIWA HELA ZAKE....HAWA MAJAMBAZI ATUWAITAJI HOSPITAL KABISA KABISA KAMA MTU ANAMWONA MZEE NA WANAMCHAJI KUNA AJA GANI YA KUWA NAE??

3)SWALA LINGINE KUNA MANESI HAWANA UPENDO KABISA KABISA YAANI WANA ROHO MBAYA KULIKO YEZEBELI WA BIBILIA...KWA KWELI SOLN YA HAWA MSIWAACHE MANESI WAKAZOEA HOSPITAL KIHIVI AKIKISHENI KUNA WALE WANAJULIKANA WANAMATATIZO PELEKENI HANDENI JAMANI AKAITAFUTE YA MUMEWE MPAKA AKUMBUKE WAGONJWA WOTE ALIKOKUWA AKIWATENDEA UBAYA...TUACHE KUWADEKEZA NA KUSIHI NA WAUWAJI KAMA HAWA...SIWOTE NAOMBA KUSEMA MANESI WANA UPENDO WA AJBU HAPO MUHIMBILI ILA HAWA WACHAFU WANAOCHAFUA MUHIMBILI TAFADHALINI NAOMBENI WAWAJIBISHWE....

4)KUNA SWALA LA PALE EMERGENCY..HII NI KERO NA KAMA WAZIRI UNATAFUTA WATU WAKULAANI BASI REKEBISHA NA WATU WA EMERGENCY..AIWEZEKANI MGONJWA AKAJA ASBH SAA 4 MPAKA 8 AMEKAA TU KAMA BOYA HUKU AKIPITWA NA MAYEZEBELI..HILI SI SAWA KABISA.TUNAOMBA WAPENDWA HIZI KAZI NI WITO ZINAITAJI UPENDO..WAKUBWA NDIO NAWEZA KUSEMA WANACHANGIA SANA UNAKUTA WANACHEKA NAO MARA KWA MARA NA MWISHO KWENGINE KUISHIA KWENYE MAP*** UNAHISI AKIKUTA AMEZEMBEA ATAMFANYA NINI???TUWE NA USIRIAS KIDOGO JAMANI..MSITUCHAFULIE MUHMBILI YETUU....KAMA UNACHOKA KUFANYA KAZI..OMBA UPUMZIKE .....

NAWATAKIA MAISHA MEMA NA UONGOZI MWEMA MENEJIMENT NZIMA YA MUHIMBILI HOSP NA WAZIRI WA AFYA NIKITARAJI KUTAKUWA NA SIRIAS FULANI..KINGINE NAOMBA TUWEKE NAMBA ZA KUPIGA IKITOKEA MGONJWA ANAPATA SHIDA AMAA KUBUGUDHIWA KWA RUSHWA AMA HATA KWA KUSAHAULIWA....MAMA MMOJA ALIDAI NESI ALIMFWAT EMERGENCY BAAD AYA 2HRS AKAOMBA MASAMAHA ALIMSAHAU HILI ALIITAJIKI..TUWEKEENI HIZI NAMBA NA WAHUSIAK WAWAJIBISHWE..NA SI HILI TU ZIWEKWE WAZI NA MPOKEE..SIMU NYINGI ZA DIZAINI HIZI WATU WANAAOGOPA LAWAMAA KUPOKEA KAMA UMETUMWA KAZI FANYA IPASAVYO NA SI USHABIKI NA KUANZIA NIMEENDA WIZARANI NIMEPEWA WATU AMBAO WATAKUWA WAKIFWATILIA UPUUZI WA MUHMBIILI..SO MANESI NA MDK KAENI CHONJO SI MAGUFULI TU HATA JF TUNEKUJA KUWASHIKA
 

Forum statistics

Threads 1,238,296
Members 475,878
Posts 29,315,094