Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAJAMBAZI wamemchinja mlinzi wa duka la dhahabu katika Mtaa wa Misheni, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, na kupora masalia ya mchanga wa madini hayo.Mlinzi huyo, Bw. Fikiri Bundala (27) mkazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
:coffee:Monday, 10 January 2011 22:43 By Ray Naluyaga, Citizen Bureau Chief Mwanza. In order to develop textile industry in Tanzania, the government has set up the faculty of textile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanamgambo wa kundi la Al-Shabbab wa nchini Somalia wametangaza kupiga marufuku wanaume kusalimiana kwa kushikana mikono, kutembea au kuongea na wanawake ambao hawana uhusiano nao. Wanamgambo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon ambaye alizimia na kuingia kwenye hali ya koma ya kutokujitambua tangu mwaka 2006 ameanza kuonyesha dalili ya kuzinduka. Waziri mkuu wa zamani wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Watu 708 wamejeruhiwa nchini Philippines wakati mamilioni ya watu walipopigania kuligusa sanamu la Yesu mweusi ambalo linaaminika kuwa lina nguvu za miujiza. Tamasha la kila mwaka la waumini wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IJANA Maneno Juma amefariki dunia baada ya kutumbukia kweye shimo la choo wakati akiwa katika harakati za kutengeneza choo hicho huko maeneo ya Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam.. Marehemu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi na kufanikiwa kuongoza Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro. Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini, Clement Kwayu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Profesa Mark Mwandosya amesema viongozi wakianza kutafuta mchawi aliyesababisha washindwe uchaguzi uliopita katika baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIKOSI Maalumu cha Kupambana na Wizi wa Magari, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kimewakamata watuhumiwa watano akiwemo mfanyabiashara Ndama Shabani (38) maarufu kama Ndama Mtoto wa ng’ombe kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANANCHI wenye hasira wamemuua mtuhumiwa wa ujambazi aliyekuwa amepanga katika nyumba ya kulala wageni ya Inn’s lodge, iliyopo Kigogo wilayani Kinondoni na kuwajeruhi vibaya wengine watatu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile ametoa muda wa wiki mbili kwa kila halmashauri mkoani hapa, kuhakikisha wanafunzi 3,150 ambao hawajachaguliwa kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RAIA wa China, Li Guibang (42) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matano likiwemo la kusafirisha nyara za serikali zenye thamani ya Sh milioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waitaka serikali kuingilia haraka kurejesha amani Mbeya, Iringa wachangia fedha majeruhi waliolazwa Maandamano mengine ya Chadema yazuiwa Songea Viongozi wa dini ya Kiislamu wameungana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu gari yangu imekwama Bandarini inahitaji TBS Je kwa anayejua ni Toyota Noah 2002 Imekwama sasa sijui bei gani mwenye kujua Sasa inakula Storage nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana, Nimejiuliza na kutafakari kwa kitambo pasipo kujua ya kwamba 'inakuwaje hakuna vyama vya wafanyakazi wa makampuni ya simu hapa nchini'. Ukiangalia makampuni haya ya simu yameshaota...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hali ya kusikitisha kundi la Maaskofu wa Madhehebu ya Kikristo walikataa kufanya kazi na Meya Mteule(si wakuchaguliwa) wa Arusha na Baadaye Dhehebu jingine likajitokeza kumsapoti na...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Natoa wito kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi wa UDOM kutoa tamko la kuomba radhi kwa kitendo cha baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho kumshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona hii From Yahoo........ Je unaweza Kudanganya Kuliko Hawa..? Top 10 Best Lies ever: 1. On the phone to Phone company: "My phone is cut off. Yes, I know I haven't paid yet, it's in the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna tabia ambayo imejitokeza ya baadhi ya viongozi wa CCM na wapambe wake ya kuwagawa watu kwa hoja ya DINI na itikadi za SIASA.Hii imechangia kuwagawa wananchi na kusahau maslahi yao na ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimeitembelea hii website ya mbunge wa Bumbuli, Kilichonistaajabisha ni lugha yake aliyoitumia kuwasiliana na wananchi wake. Siku hizi unaweza kuperuzi intaneti hata kwenye simu ya...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom