Ndugu January Makamba - New website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu January Makamba - New website

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 6, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Jamani nimeitembelea hii website ya mbunge wa Bumbuli,
  Kilichonistaajabisha ni lugha yake aliyoitumia kuwasiliana na wananchi wake.
  Siku hizi unaweza kuperuzi intaneti hata kwenye simu ya kiganjani.
  mbunge wa bumbuli anaongea na watu wake kwa lugha ya Kiingereza,
  sijui ni wananchi wake wangapi wanaielewa kwa ufasaha lugha hiyo?
  mi nadhani tovuti hiyo ingekuwa ya lugha mbili Kiswahili na Kiingereza ingefaa zaidi.
  Aibadilishe ili iweze kukidhi mahitaji ya wananchi wa Bumbuli wenye kiu ya kujua mipango ya kila siku ya mbunge wao kupitia mtandao wa intaneti.
  January Makamba.com
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hey ya"ll

  Aisee tuweke majungu pembeni really talk----Check it out for Ndugu January Makamba New website Mbunge wa Bumbuli.You got to know who January is in person.This dude is my role model I am going be just like him when i grow up....

  This is
  "My story"....Don't judge the book by its cover you got to read it--right?...so i edge you to check it out without judging.

  I was born on 28 January 1974 to a young, polite and beautiful nursing course trainee and a very vibrant, loud and charming local government functionary (Katibu Tarafa): Josephine and Yusuf. Few months after my birth, my father was promoted to become a District Commissioner in Tanga. After three years, my mother went for further studies and my father went to join the military for Officer Cadet course in Tanzania Military Academy in Monduli. Me and my little brother were shipped to our village Mahezangulu, Lushoto, and later to our maternal grandmother who was living alone (my mother is a sole child and my grandma was widowed early) in a village around Kyaka – now Missenyi District – about 20 kilometres between the border of Uganda and Tanzania. After a year, Idi Amin invaded Tanzania and the Ugandan army occupied areas around our village: my grandma, my brother and I became refugees in displaced persons camp in areas further back from the border. Our mother made attempts to come get us but roads were closed around Biharamulo and people were not allowed to travel to the "war zone". When the full war between Tanzania and Uganda broke out in 1978, my father, as an energetic new army lieutenant, was assigned to the frontlines – and therefore could not assist in getting us out of the refugees camp, until one day when he showed up in dirty uniforms soaked with rain commandeering an empty bus and got us permit to travel back to safe zone and reunite with our mother.
  continue reading "My story" about Ndugu Makamba here January Makamba.com


  cheers
  xoxo
  BM
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhhh kazi kweli kweli!
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Be positive!......
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  I am trying to
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shem I am looking for a loud speaker as well
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wee Binti,
  Nakuomba tafadhali huu udaku peleka huko huko kwenye Facebook na Michuzi...:bolt:
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  acha fitina m2wangu kuwa positive....hata kama you hating the dude man....
   
 9. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Good!....and that's my whole point!....
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ni rangi ya macho yako tu ndio inayonifanya nikujibu...sio hako kazigua feki...
   
 11. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  God Bless!.....
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Holy crap!
   
 13. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  if you say so....but as long as you read it that is all matters!.....

  don't hate congratulate!---cheerz!
   
 14. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono kwa 100% Buji. Ndo maana watu tunasema, kabla hujafanya kitu angalie wahusika wako kwanza (hadhira). Naamini hiyo web ameitengeneza kwa ajili ya wananchi wake, ambao english kwao ni kitu kigeni..... Naamini ushauri huu ataupokea kwa utekelezaji.

   
 15. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  jamaa amechemka kweli..kama anataka kuwasiliana nawanachi tumia midahalo ya wazi au mikutano au tumia njia nyingine ambayo utaweza kuwafikia.. wale ambao hawajakwenda shule..sasa tovuti..huhuh...computer yenyewe wanaona kama video..bado hawajaona laptop..sijui itakuwaje..Lugha..wenyewe english ndiyo kabisa kachemka..mwanafunzi hata aliyemaliza chuo bado lugha haipandi sasa huyu mwenzangu aliyekimbia umande itakuje?mawasiliano unaishi Bumbuli,DSM au US?sababu no ya cim ni ya US mtoto wa mkulima akiona hiyo +1 anaanza kulia...

  Ila nakupongeza kwa kuuza sura..hasa wale wenzangu walioko mbali na Bumbuli watakutazama fresh....:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  January amesema ataiweka pia kwa lugha ya kiswahili,jamani website ni nzuri na ndo kwanza imefunguliwa,zaidi ameruhusu opinion za kuiboresha.lakini pia,watu wangapi wa Bumbuli wana umeme na wana access na internet ??????Big Up January,thats a good website and a great story.Wabunge wengine pia wafanye hivyo ili tuweze kujua activity zao na kufanya nao discussions...........
   
 17. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nice story, trying to show the audiance that he got some difficult times while growing up!!! But then everything was perfect for him... got a job at State House, be a MP.. A sister working as top executive in Vodacom Tz, etc etc..
   
 18. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Like his father. Vuvuzelaaaaaaaaaaaaaa
   
 19. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  na anaomba pesa sijui ndio wakuja kuendeleza bumbuli

  pesa alizopewa sijui kaziweka wapi hata miezi mitatuhaijafika anaomba omba

  si atumie pesa alizopewa kufanya anachotaka kifanyike pesa ikiisha na hajamaliza ndio aanze omba omba

  PIA international ofisi number imo ya USA wanabumbuli kumpigia
   
 20. n

  nndondo JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  My dear, I am so shocked to read the language profiency of the assistant press secretary of the President of United Republic of Tanzania. It mesmerizes me to learn that this is what January can produce in English. Forget about wasambaa, it is actually washamba in Kisambaa, hata hao wazungu sioni kama wanaweza kumuelewa hicho alichozungumza. You mean was he really sourced on merits? Poor Tanzania kwa kweli ni bora tu dogo akazanie hiki Kiswahili chetu hata kama cha kuungaunga huko alikogusa mmh, sina wivu lakini we surely have reservations on what we have read!
   
Loading...