Nani mmiliki wa KCMC Hospital?Ni miradi gani ya kidini iliopo Arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mmiliki wa KCMC Hospital?Ni miradi gani ya kidini iliopo Arusha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanza Madaso, Jan 10, 2011.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Katika hali ya kusikitisha kundi la Maaskofu wa Madhehebu ya Kikristo walikataa kufanya kazi na Meya Mteule(si wakuchaguliwa) wa Arusha na Baadaye Dhehebu jingine likajitokeza kumsapoti na kumkubali Meya Mteule wa Jiji la Arusha.

  Swali: Je huyu Meya ataweza kusimamia miradi iliyoanzishwa na dini tofauti hapa Arusha ikiwa waanzishaji wa Miradi hiyo wamemkataa?

  Na je kuna miradi mingapi ya kidini ilyoanzishwa na Madhehebu mbalimbali hapa Arusha?

  naomba kujua je ni nani mmliki wa hospital ya KCMC na inatibu watu wa Madhehebu gani?

  Kwa wanaoijua hii miradi naomba tuiorodheshe hapa ili kujua ni miradi gani hii huyu Meya Mteule hataweza kutia mkono wake pale.
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wamiliki wa KCMC nI Lutheran Church of Tanzania kwa Arusha hawa jamaa wanamiliki Hospital Kubwa na ya kisasa ya Selian hivyo ili meya afanikiwe ni vyema akawa katika good term na viongozi wa dini zote maana wote Wakristu,Waislam na Wahindu wanatoa huduma za kijamii hapa Arusha
   
 3. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Shule za Msingi na za Secondary za kutosha, Arusha corridor Spring Hotel, New Safari Hotel, Vituo vya Compassion vya kutosha vinavyosomesha watoto maskini wa dini zote,Caritas, MCC na Taasisi zingine nyingi mno ambazo zinaendeshwa na Kanisa bila upendeleo wa kimadhehebu wala kidini, Seliani ya Town na Nyaramtoni vyuo vikuu kama vile Makumira, Arusha University, Mount Meru University
   
 4. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkuu hapa nimekukubali, na je huyu Meya afanyeje nini ili aweze kuwa na sauti kwa haya Madhehebu yanayomiliki Vitega uchumi hivi?.

   
 5. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkuu hiyo hospital sikujua kama iko mikononi mwa kanisa.

   
Loading...