makampuni ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

makampuni ya simu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpevu, Jan 10, 2011.

 1. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Waungwana,
  Nimejiuliza na kutafakari kwa kitambo pasipo kujua ya kwamba 'inakuwaje hakuna vyama vya wafanyakazi wa makampuni ya simu hapa nchini'. Ukiangalia makampuni haya ya simu yameshaota mizizi kwa zaidi ya miaka kumi, lakini vyanzo vya kuaminika vinadai eti wamiliki wa kampuni za simu HAWAPENDI kuwepo na muunganiko wa wafanyakazi katika kudai maslahi yao kupitia vyama halali vya wafanyakazi.
  Mfano ni hii ambush ya karibuni iliyowafika baadhi ya staffs wa vodacom kutemeshwa kazi kiajabu-ajabu tu, enzi za BUZZ walijaribu kudai chama cha wafanyakazi wa MIC na kilichowakuta ni kufukuzwa kazi,,kwa nini kusiwepo vyama hivyo mfano wa TUGHE etc???
  Mwenye vina juu ya hili hebu tufunulieni KULIKONI?
   
 2. Quadratic

  Quadratic Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha unafiki na majungu wewe........TEWUTA NA COWTU ni nini?? Peleka majungu yako uswahilini sio kwa great thinkers.....P.U.MBAVU!!
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa yote, nisamehe kwa kuku-undermine juu ya hilo.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Punguza jazba.......
   
 5. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  hehhhhhhh
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nadhani nimeeleweka vibaya,
  Nimeanza kwa neno 'waungwana', sijui matusi yameingiaje,
  anyways, UUNGWAANA NI VETENDO...by jenerali Ulimwengu.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Pole ndugu Mpevu watu wengine inabidi kuwavumilia!!
   
 8. Bazobonankira

  Bazobonankira Senior Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba kuuliza kiungwana tu, vyama hivi vya wafanyakazi vinaexist in any of the cellular companies? Tigo, Airtel, Zantel, Voda? Lini mmesikia?
   
 9. K

  Kivia JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pole mh mpevu, kumbuka wengine ni walevi hapa, wanataka uongee kinachowapendeza hasa mambo ya AR.
   
 10. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama una hasira za hivyo nenda kajiunge na chuo cha polisi. Utuambie hivyo vyama ulivyovitaja vina matawi katika makampuni ya simu au umetutajia tu vyama?
   
Loading...