Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nawasalimia jamiiforum kweli siasa ya tanzania imefika mbali sasa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wala ‘kitimoto’ hatarini kufa kwa sumu Dar Send to a friend Friday, 07 January 2011 20:07 0diggsdigg Fidelis Butahe WATU wasiojulikana wanadaiwa kuua nguruwe 25 kwa sumu kali na hatimaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
0 Reactions
73 Replies
6K Views
eti mnaonaje saa zingine mtu unaingia humu unakuta thread ina replies nyingi kama wengine tusio na muda kama mimi vigumu kusoma zote(kila posti) au kuona kama mwanzishaji kaongeza majibu ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za shughuli washikadau wa Jf! Ndugu yenu nimepata International wadau wanataka kupatner na local NGO ktk kufanya AIDS awareness and prevention campaigns,sasa mimi nimeonelea niwape dili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WATU wasiojulikana wanadaiwa kuua nguruwe 25 kwa sumu kali na hatimaye kuibeba mizoga ya nguruwe 18 kwa nia ya kuisambaza kwa walaji katika Jiji la Dar es Salaam. Mabaki ya nguruweiliyobaki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Askari wa Mgambo wakimkamata mama aliye kuwa akijiuzia bidhaa ndogo baada ya msoto wa maisha bora kwa kila mtanzania. Yaani ilikuwa balaa patashika nguo kuchanika Huyu mama kuna watoto na...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Attack Victim Reveals
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGOGORO wa kisiasa wa kuhusu uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha, unaweza kuzaa mpasuko siyo tu kwa wakazi wa Arusha, bali hata kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Katibu Mkuu wake, Yusuf...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
HATIMA ya watu 28 wakiwemo Watanzania 14 waliomo kwenye Meli ya MV Aly Zoufecar iliyotekwa na maharamia wakati ikisafiri kutoka Moroni katika visiwa vya Comoro kwenda Dar es Salaam Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHAMA cha NCCR –Mageuzi kimeiomba Serikali kuwafutia mashitaka viongozi na wafuasi wote wa Chadema waliokamatwa wakati wa maandamano yaliyozimwa kwa risasi, mabomu na virugu juzi mjini Arusha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A one-eyed child suffering from a rare chromosomal disorder known as cyclopia was born in a hospital in Chennai earlier this week. The disorder occurs during pregnancy when the cells that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAPAMBANO makali kati ya Polisi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaliyotokea juzi na jana mkoani Arusha yameleta mshtuko mkubwa kitaifa, hata kuilazimisha serikali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAASISI isiyo ya kiserika inayojishughulisha na kuhudumia watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na masuala ya jamii, Agape Aids Control Programme (AACP), imetoa sh milioni 16 kwa Kata ya Lubaga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA kujibu hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha aliyetaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) vikae kuzungumza namna ya kumaliza mfarakano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WATEJA wa Benki ya Barclays wamelalamika kuwa fedha zao zinaibwa pindi wanapotumia huduma ya kuchukua fedha kwenye akaunti kwa huduma ya mashine kupitia kadi za Visa za Benki ya Biashara ya Taifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MTOTO mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Moza Hassan (13), ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Manzese, wilayani Kinondoni, amejinyonga kwa kutumia waya wa umeme. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali si haina dini? kwa nini kiongozi kama rais anapewa kiapo akiwa ameshika aidha Biblia au Qu-ran? kwani akikosea wakati wa utawala wake ataambiwa amekiuka misingi ya dini yake aliyoapishwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
SERIKALI imesisitiza kwamba wajawazito wanatakiwa kupata huduma za kujifungua bila ya kulipia katika hospitali zote za serikali na kwamba ni makosa kuwataka wanunue baadhi ya vifaa. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom