Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

By SEBASTIAN MRINDOKO, 4th January 2011 OUT of the 4,346 political leaders who picked wealth declaration forms, 3,047 have not returned them, while 1,041 out of 4,064 of public servants who...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Bei ya Umeme Ndugu Wananchi; Natambua kuwepo kwa mazungumzo, katika jamii kuhusu uamuzi wa EWURA wa kukubali ombi la Shirika la Umeme (TANESCO) kuongeza bei ya umeme. Wakati mwingine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba basi la Abood lililokuwa linaelekea Morogoro toka Dar limepinduka Kibaha Maili Moja na limeua watu kadhaa! mwenye habari kamili na idadi atupe Thank you!!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
ndugu zangu hali siyo shwali katika hospital ya rufaa ya wazazi meta iliopo mjini mbeya, mie nilienda kumsalimia shemeji yangu (mke wa rafiki yangu) cha ajabu leo anasiku ya tano kwani alipelekwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu katika jf. Tulishaiona kesi ya chenge kuwa alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu au kulipa 700,000/= je huyu mheshimiwa angekuwa amemuua mh. Lidhiwani adhabu ingekuwa ni nusu ya ile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WADAU NAITAJI CONNECTION NA WATU WENYE UZOEFU KATIKA BANKING NA FINANCIAL SECTOR,LENGO KUBWA NI KUSHIRIKIANA KUZA HUDUMA ZA CONSULTANCY NA TRAINING ZA KAMPUNI KUBWA YA FINANCIAL CONSULTING KUTOKA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nataka kuanzisha shule ya chekekea, ni masharti gani ya kisheria natakiwa kutimiza/wapi naweza kupata maelezo ya hizo requirements, nimejaribu kuangalia katika mtandao wa wizara ya elimu lakini...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Kunabosi mmoja katika taasisi inayohusiana na usimamizi katka safali za anga ambae ni mkulugenzi wa utumishi ametoa ya mwaka kwa kukataa kutoa zawadi za noel na mwaka mpya kwa vituo vya watoto...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Prof Ndulu, alisema kuanzia januari mosi, tutaanza kutumia fedha mpya zenye ubora wa hali ya juu, na ukubwa size ya dola ya USA. ila katika hali ya kushangaza hakuna benki hata 1 iliyopokea fedha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
UKIZUNGUMZIA nyota waliowahi kutesa katika medani ya soka ya Tanzania kwenye miaka ya sabini hadi mwanzoni mwa themanini basi huwezi kuacha kulitaja jina la Jellah Mtagwa nyota wa zamani klabu za...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wana jf, naombeni kwa mwenye taarifa za aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya rais ya kubinafsisha mashirika ya umma tanzania ndugu john lumbambe yupo wapi na anafanya nini? Maana huyu ni mmojawapo wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi ni halali kwa mafisadi kuimba wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weee...." wakati wanaonesha hawana hata chembe ya huruma kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wilaya za Kahama na Bukombe mkoani Shinyanga ndizo wilaya vinara wa matukio mballimbali ya uhalifu yakiwemo matukio ya ujambazi na unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi mkoani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sikuwahi kutegemea katika maisha yangu kama babu yangu alikuwa anaona mbali kiasi hiki. nakumbuka ilikuwa mwaka 90 wakati aliponiambia kuwa watanzania. ni waerevu sana lakini wa kijinga. Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimejaribu kuitafafuta bila mafanikio nisaidieni jamani!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu mabibi na mabwana wana JF, nilikuwa mikoani kwa takriban wk3, nimeona mambo mengi ambayo yanahitaji kujadiliwa nikikaa sawa nitatoa moja moja. Good day.
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Ndugu zangu wanaJF, Nimehabarishwa na rafiki yangu mmoja anayeishi Mbezi ya Kimara kwamba wananchi wanahaha kutafuta maji baada ya DAWASCO kuamua kukata huduma ya maji kwa wafanyabiashara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkapa aenda kusimamia kura za maoni Sudan Na Andrew Ignas RAISI Mstaafu wa awamu ya tatu, Bw. Benjamini Mkapa amewataka Watanzania kumuombea aweze kusimamia upigaji kura za maoni Januari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuunga mkono mgomo wa kupandisha gharama za umeme tanzania. Sababu zangu ni hizi: kupanda kwa umeme kuna athari kwa makundi yeto, (wakulima, wafanyakazi, wenye kutumia umeme na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom