Mwenye kujua mambo ta tbs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kujua mambo ta tbs

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Original Pastor, Jan 10, 2011.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu gari yangu imekwama Bandarini inahitaji TBS Je kwa anayejua ni Toyota Noah 2002

  Imekwama sasa sijui bei gani mwenye kujua


  Sasa inakula Storage nisaidieni
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Siyo storage tu na dumping fee lazima ikutoke kwani gari lolote chini ya 2003 italipiwa. Jaribu kuwatafuta mawakala wa bandarini kidogo wanaweza jibu kwa usahihi. Majuzi tu jamaa yangu alilipa milioni unusu hivi ni kuzunguka ndani yake!
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwani huna clearing agent, maana wao wanajua vizuri sana utaratibu na wengi siku hizi hawacheleweshi magari kutoka kama documents umezipata mapema na kuwakabidhi. mara nyingi meli ikifika inakuta process karibu imekamilika inasubiri assessment ambayo ni mpaka meli ifike bandarini
   
 4. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  penalty ya kuingiza gari chakavu huwa inatolewa kama gari imefikisha miaka kumi tangu itengenezwe wakati inafika nchini.
  Hivyo tuko mwaka 2011 na kama gari ni ya 2002 miaka kumi bado hawezi kutozwa penalty ya uchakavu
   
Loading...