Hivi wana ccm hili si tatizo kwenu pia?

kasita

New Member
Oct 30, 2010
2
0
Kuna tabia ambayo imejitokeza ya baadhi ya viongozi wa CCM na wapambe wake ya kuwagawa watu kwa hoja ya DINI na itikadi za SIASA.Hii imechangia kuwagawa wananchi na kusahau maslahi yao na ya nchi.Mfano ni madai ya wafanyakazi wa UDOM,baada ya kujadili matatizo yao hao walitaka kuingiza propaganda za kuwa hizo ni extension ya shughuli za CHADEMA...Je hawa wanaipeleka wapi nchi yetu?
 
Back
Top Bottom