Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndg zangu, niliwahi kusikia kuwa kuna mkakati wa kuboresha kilimo Tanzania maarufu kama 'kilimo kwanza'. Mimi ni mkazi wa kjjn kabisa(kagera). Huku kwetu sioni mbolea wala trekta wala hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mweshimiwa rais nnajiuliza maswali mengi sana siku utakapoanza kutembelea wanachi wako kama kawaida ya marais wanavyofanya,maswali haya yanatokana na jinsi wabongo walivyoamka na wana hasira...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Miaka 50 ya uhuru umeme tu umetushinda!ni laana,ni bahatai mbaya,ni ujinga,ni umaskini wa fikra,ni kupumbazwa au ni kitu gani hiki kinacho sababisha tusherekee miaka 50 ya uhuru wetu bila ya kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Reginald Miruko Sekretarieti ya CCM inaendelea na kampeni mikoani kuhusu KUJIVUA GAMBA. Lakini ghafla wimbo wao umebadilika, chorus ya 'mafisadi ndani ya CCM' ikawa 'Mafisadi wa CHADEMA'...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, leo nimesikia radioni kuwa TRA wanaichunguza CHADEMA kwa ukwepaji kodi! Kama kuna mtu anajua kinachoendelea hebu atupashe.
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Ndugu Zangu, Pichani ni ' Chifu' wa mtandao wa Tanzanet, Mzee Yussuf Kalala. Nilikutana nae Dar jana. Tuliongea kwa kirefu. Mzee Kalala ana mengi ya kuelimisha, ikiwamo maarifa ya kihistoria...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
eti wanajf ni kweli ukitaka kua tajiri jiunge ccm? Eti hata visa haupewi bla kua na kadi ya ccm,ni kweli naombeni msaada.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi april kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watanzania nashindwa kufahamu kwanini wabunge wengi hasa wa Magamba wanapenda sana kuishi Dar na kuwakimbia wananchi wao waliowachagua. Hivi kuna haja gani ya kumchagua Mbunge ambaye hakai...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabidii Africa na rasimali zake kuna nchi yoyote ya ulaya iliwahi kukopa nchi za Africa rasimali au fedha kujikwamua kiuchumi 'tufahamishane?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge wa nyamongo Nyambari Nyangwine ameshambuliwa kwa mawe na wanakijiji wa nyamongo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Punda ni mnyama mwenye sura mbaya sana.Pamoja na hivyo Binadamu wote;wake kwa waume wanamuheshimu sana mnyama huyu.Si kwa ajili ya uvumilivu wake tu kutokana na kazi nzito bali kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna habari zilizozaaga hapa Arusha ya kwamba kuna dogo mmoja aliye2a Samunge kwa Babu na kupata kikombe, lakini baada ya hapo wakati anarudi mambo yaligeuka na kuwa kama mbogo aliyejeruhiwa na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilikuwa napiga stori na ndugu yangu mmoja kuhusu kesi ya Strauss-Kahn na kukumbushana jinsi wale wanajeshi wa Uingereza waliotuhumiwa kubakwa walivyoachiliwa kwa moyo mkunjufu na serikali yetu...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Saif al-Adel, ambaye aliwahi kuwa afsa mwanajeshi wa kikosi maalum katika jeshi la Misri, anasemekana kuwa kwa sasa ndiye aliyechukua nafasi ya Osama bin Laden, ambaye aliuawa na jeshi la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamii, Nimepata taarifa kwamba kuna mwanafunzi ameuawa pale Chuo Muhimbili. Mwenye taarifa kamili au aliyepo karibu na maeneo hayo atujuze tafadhali.
0 Reactions
44 Replies
5K Views
WASANII wa kikundi cha Jakaya Theater wamekumbwa na simanzi baada ya mkurugenzi wao kufariki dunia kwa kuangukiwa na kontena maeneo ya Kimara Resort jijini Dar es Salaam Msanii huyo aliyefariki...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
consider, how she make it to the end of the day working so hard just to get paid as a single parent life aint easy playing the role of mom and dad Repeat Chorus Verse 1 woman I thank you...
1 Reactions
0 Replies
893 Views
Kuna wakati tufike tuseme neema ya mungu isimame na hawa viongozi wetu kumekuwa na matatizo sana kwenye baadhi ya makanisa ...majuzi nimefutahi kusoma gazeti la nyakati likisema kuna mtu mmoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom