Ni kweli CHADEMA inachunguzwa na TRA?

Ni kweli CHADEMA inachunguzwa na TRA?

consigliori

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2010
Posts
392
Reaction score
90
Wakuu, leo nimesikia radioni kuwa TRA wanaichunguza CHADEMA kwa ukwepaji kodi! Kama kuna mtu anajua kinachoendelea hebu atupashe.
 
TRA inabidi wawe makini maana wakijiingiza katika hizi politiks za bei rahisi waweza kunaswa hukohuko na wasitoke tena ....au ndiyo kisa cha ukusanyaji mapato kupungua!? Wakwepa kodi wengi wajulikana, wasipoteze muda na gharama kwa CDM badala yake wabuni vyanzo vipya ili kodi zipungue
 
Back
Top Bottom