Harambee nyingi zinamaliza upako wa mungu makanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee nyingi zinamaliza upako wa mungu makanisani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,451
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati tufike tuseme neema ya mungu isimame na hawa viongozi wetu
  kumekuwa na matatizo sana kwenye baadhi ya makanisa ...majuzi nimefutahi kusoma gazeti la nyakati likisema kuna mtu mmoja sasa n mchungaji wa revival kule riverside amekuwa akitumika kwenye freemassons zaidi ya 10 yrs akasema moja ya njia za kutibua makanisa wamekuwa wakiaribu kwenye harambee.....pesa zile zimekuwa zikiwasambaratisha sanasana.....sijajua hizi harambee zimetokea wapi lakini kuna sehemu naoamba nitarudi tena imekataza kabisa harambee makanisan...najua wapo wenye malengo yao lakini tuwe makini sana wapendwa mkiwa kanisan msiache kuwaombea wale viongozi wenu

  nawezawapa mfano mmoja kuna kanisa moja pale kibaha lilikuwa strong sana akaja jamaa mmoja akajitambulisha ametokea ikulu yuko vyema na mungu amsaidie..alipofika yule mchungaji gafla akaanzisha kitengo akampa jamaa uenyekiti akabadilisha uongozi kwa wamama akampa mke wa huyo baba wa ikulu uenyekiti ..ilishangaaza sana sana

  baada ya muda jama akawambia waanzishe harambee ndugu mimi nilikuwa mmoja wa waliopingana sana saa kumbe nyuma ya pazia kuna mambo mengi....ilipokaribia niliwambia mnaenda kumleta rosemhando ..sawa kiingilio mtoto 5000 mkubwa alfu 10000 nkawambia rose mwenyew e diamond alfu tano wanatafutana waje kujazana huku kibaha akuamini...ilipokaribia akaenda kwa alexmsama jamaa akatangaza million moja kuimba rose......yaani uwezi amini ilipofika siku yamwisho hata rose walishidwa kulipa..ikawa aibu baada ya pale jamaa akaenda ukumbini alikuwa yeye mkewe wanawawe na jamaa 5 hata vyombo vya mziki walishindwa kulipa..akarudi ataki kuwaona 1,2,3,4,5,6, kwa sababu ya kumpinga ndugu ninavyokwambia lilekanisa alipo tena tulipojuza nyuma ndipo tukaambiwa huyu bwana alisema anaitaji milion 5 kwa ajili ya vyombo vya kanisan sasa million 15 kaandika kwenye magazeti za wapi ikawa aibu...kumbe akawambia jamaa anaitaji na ya kununua gari..uwiii

  mungu tusaidie
   
Loading...