"mmisri avaa viatu vya osama bin laden" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"mmisri avaa viatu vya osama bin laden"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjunguonline, May 18, 2011.

 1. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saif al-Adel, ambaye aliwahi kuwa afsa mwanajeshi wa kikosi maalum katika jeshi la Misri, anasemekana kuwa kwa sasa ndiye aliyechukua nafasi ya Osama bin Laden, ambaye aliuawa na jeshi la Marekani hivi karibuni
  huko Pakistana.


  Saif anakuwa kiongozi 'mlezi' wa al-Qaeda wakati pakisubiriwa mtu wa kumrithi Bin Laden.


  Habari hizi zilikifikia kituo cha luninga cha CNN baada ya aliyewahi kuwa kiongozi wa al-Qaeda huko Libya kuwadokezea.
   
Loading...