Ufugaji wa punda

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,152
10,862
Punda ni mnyama mwenye sura mbaya sana.Pamoja na hivyo Binadamu wote;wake kwa waume wanamuheshimu sana mnyama huyu.Si kwa ajili ya uvumilivu wake tu kutokana na kazi nzito bali kutokana na maumbile yao.
Mungu hufanya apendavyo na kwa hekima zake.Kama si hivyo basi mimi mwenyewe kutokana na aibu Punda waliyoifanya siku moja sokoni basi hata ningesikia kizazi chao kinatoweka nisingejutia.
Wenzangu hebu nijulisheni mamlaka za miji na majiji zinasemaje kuhusiana na ufugaji wa wanyama hawa.
 
Back
Top Bottom