Wanajamii heshima sana!
Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kipindi cha mwezi mmoja nimegundua kitu cha aibu na cha kusikitisha sana kwa kikosi cha trafik hususan kwenye mikoa ya Iringa na Mbeya...
TRA imetangaza vita na CDM,imeanza kuifanyia uchunguzi wa kukwepa KODI,HI mamlaka siko zote huwa naiita chombo cha CCM cha kukandamiza wale wanaoikaidi au kwa wale au Taasisi inayodhaniwa ni...
PATENI MISTARI YA KWELI TOKA KWA BUJU NA HII NI WARAKA TOSHA KWA HALI TULIYONAYO
While I'm living
Thanks I'll be giving
To the most high, you know
Chorus
I am living while I'm living to the father...
Wadau something has just come on my mind, msinishambulie tafadhali , nimeangalia kwa makini watoto wanaozaliwa na wazazi wa mixed races wanakuwa na future tofauti sana. Mathalani baba anapokuwa...
Serikali haina mamlaka ya kutupangia cha kujadili.
MUSWADA wa sheria ya katiba mpya uliowasilishwa na serikali bungeni hivi karibuni na baadaye kuondolewa baada ya kukutana na upinzani mkubwa...
wajemeni naombeni mnisaidie nashindwa kuelewa huyu mzee kulikoni na na chama cha hawa mafedhuli sijajua anaumuhimu gani katika jamii hii kwani umri wake upo tamati sasa kulikoni mbona hawamuachii????
Kuna baadhi ya wananchi wanahoji baadhi ya masuala ya muungano na wanaomba ujadiliwe katika pande zote mbili za muungano. Hilo likijitokeza wanaambiwa wanaleta chokochoko. Binafsi naamini kwamba...
Baraza la Mawaziri latupiwa lawama kukubali wakimbizi
NA DEGE MASOLI
17th May 2011
Baraza la Mawaziri limetupiwa lawama kwa kile kilichodaiwa kumshauri vibaya Rais Jakaya Kikwete, kuhusiana na...
Wakuu hebu tujaribu kutoa mchanganuo wa wizara mojawapo hapa nchini mwetu halafu tuone kama kuna tija kwa mtu wa mwisho(mlipa kodi)
nianze na mchanganuo wangu
1.kumkaribisha mh rais...
Katika hali ya wahadhiri vyuo vikuu kuendelea kuwatumia wanachuo kama sehemu ya kutimizia haja zao na kuonyesha umaarufu wao,sasa umeingia sura mpya baada ya Mwalimu mmoja(jina tunalo)wiki...
Kwema makaka na madada, I was abit tight ndo maana nimepotea jamvini, bahati mbaya simu yangu ni ya buku 15 na sina laptop hivyo the only means that I can use to access internet ni kwenda kwenye...
LAGOS, Nigeria
MUUMINI wa dini ya kiislamu anayetibu kwa tiba za jadi katika mji wa Bida, Nigeria, Bello Maasaba, ambaye alikamatwa kwa kuoa wake 86, ameendelea kuoa na kufikisha wake 107. Taarifa...
Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama...
Monday, 16 May 2011 11:25 Daniel Semberya
DAR ES SALAAM, TANZANIA -The International Monetary Fund (IMF) has advised the Tanzanian Government to review its fiscal policy in order to curb its...
Habari wana JF,
Naandika habari hii kwa masikitiko makubwa, Nina mashaka na ubunifu na uelewa wa baadhi ya viongozi katika nchi yetu hasa kwenye masuala ambayo yanaonyesha taswira ya Taifa...
Kuanzia asubuhi ya leo 17 may 2011, wakazi wa Dar es Salaam ukipiga simu inakwenda kwa mtu mwingine bila kukusudia, sijui tatizo ni nini? wengine mpaka tumetukanwa
BAADHI ya wakazi wa Manispaa wametakiwa kuacha imani potofu ya kunywa majivu kabla ya kujamiina kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo ni kujikinga na
maambukizi mapya.
Mratibu wa Ukimwi Shinyanga...
Wana JF,
Nimefanya utafiti wa kina kwenye jukwaa ili la Siasa kupitia Thread mbalimbali, hii Thread ya Nape muanzilishi wa CCJ, nimepima upeo Chadema JF, wengi ni Low pamoja na kuona picha ya...
kikao cha sekretariet ya ccm mkoa Arusha kilichokutana leo kumjadili mjumbe wa baraza la vijana Taifa,mrisho gambo kimeshindwa kufanyika baada ya mashahidi au wanachama waliokuwa wanamtuhumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.