Wataalamu wa mtandao naaombeni msaada.

Wataalamu wa mtandao naaombeni msaada.

FADHILIEJ

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
132
Reaction score
18
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas.

Ahasnteni.
 
Ipost jukwaa la teknolojia na magajeti, kuna wadau wengi kule.
 
Back
Top Bottom