sielewi siku kikwete akiamua kutembelea wananchi itakuwaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sielewi siku kikwete akiamua kutembelea wananchi itakuwaje

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, May 18, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mweshimiwa rais nnajiuliza maswali mengi sana siku utakapoanza kutembelea wanachi wako kama kawaida ya marais wanavyofanya,maswali haya yanatokana na jinsi wabongo walivyoamka na wana hasira halafu vilevile alichofanyiwa mbunge wako leo limeongeza maswali,kwa kweli sielewi utapokelewa vipi sehemu kama,musoma,mara,shinyanga.mwanza.bukoba,kilimanjaro.mbeya,arusha, na iringa,hilo swala linanichanganya,mweshimiwa najua unapenda sana internet na najua uko hapa,tueleze nakuomba.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hatemebei ng'o! Anajua upupu alioufanya mnataka mmpige mawe? mtamwona kwenye hotuba za mwisho wa mwezi, semina elekezi na kwenye misiba tu.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  uhuko huko kwenye misiba watu tunamchenchia
   
 4. x

  xman Senior Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amesahau nini hadi atembee? hapa ni kwamba amalize kipindi chake alale mbele.
   
 5. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hata kwenye hizi hotuba za mwisho wa mwezi awe makini.watu wanaweza kumpiga mawe hata kwenye TV.
  Misibani ndio nahofu zaidi watu wanaweza kumtumbukiza yeye badala ya marehemu.
   
 6. x

  xman Senior Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua jamaa ametoa ahadi nyingi kwa wananchi ambazo ukiziangalia vizuri na ukijumuisha utendaji wake wakazi kwa hii miezi kazaa tokea achaguliwe tena, sioni jipya litalomfanya harudi mtaani kusema nimefanya hiki katika yale mengi aliyoahidi for him it's bussiness as usual, anakenulia tu watu meno!!!
   
Loading...