Kilimo kwanza iko wapi tanzania?

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Ndg zangu, niliwahi kusikia kuwa kuna mkakati wa kuboresha kilimo Tanzania maarufu kama 'kilimo kwanza'. Mimi ni mkazi wa kjjn kabisa(kagera). Huku kwetu sioni mbolea wala trekta wala hizo powertillers... Baba yangu na mimi na wengine tunaendelea kukaza msuri wa jembe la mkono, na mategemeo ni mbolea ya asili na mvua (nature) ili kustawisha mazao yetu. Hv hy klm kwanza iko siku babangu itamhusu, au tusubiri maelezo ya kwa nn haikumfikia ili apige kura kwa ahadi ya kukumbukwa?. Anyway, ni kweli mkakati huu upo tanzania hii? Tufahamishane wana JF, Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom