CCM ni shortcut ya utajiri

CCM ni shortcut ya utajiri

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
eti wanajf ni kweli ukitaka kua tajiri jiunge ccm? Eti hata visa haupewi bla kua na kadi ya ccm,ni kweli naombeni msaada.
 
kumbe ndo maana mimi sio tajiri. manake sio ccm. ila uzuri pia sijawahi omba visa so sijakwamishwa kwenye eneo hilo. labda utufafanulie utajiri uusemao ni upi, manake among my peers wananiona mmi ndo kibopa wao na wanajua sisiemu kwangu haramu ka nguruwe kwa osama! leo sijui kuna nini hapa jamvini.. threads za ajabu ajabu 2
 
eti wanajf ni kweli ukitaka kua tajiri jiunge ccm? Eti hata visa haupewi bla kua na kadi ya ccm,ni kweli naombeni msaada.

kwani we unataka kuwa maskini? Ingia ccm uwe tajiri! Unaonekana unavutiwa na njia za kifisadi za ccm.
 
Hivi ni nani yule aliyesema ukitaka biashara zako ziende jiunge ccm?......nimesahau kidogo ila mambo ya ccm yako wazi kabisa na hawafichi ufisadi wao isipokuwa watz mabwege ndiyo maana hawana wasiwasi wowote
 
Back
Top Bottom