Wahadhiri UDSM semeni ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahadhiri UDSM semeni ukweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, May 17, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi april kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini?
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mwezi mei mbona bado haujaisha? huo mshahara watapewa vipi?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Ni kweli....nilikuwa ofisi ya UDBS hadi ijumaa ya tarehe 6.5.2011 walikuwa wanabishana wengine wamewekewa NBC wengine bado....
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kama tayari mshahara wa Mei wamepokea Mei 7 hiyo kali sana. Na SMT inastahili pongezi japo ni kosa kisheria kulipa mshahara kabla kufanya kazi.
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimerekebisha ilikuwa ni typing error
   
Loading...