Msanii anayeshika uhusika wake ipasavyo afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii anayeshika uhusika wake ipasavyo afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, May 17, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  WASANII wa kikundi cha Jakaya Theater wamekumbwa na simanzi baada ya mkurugenzi wao kufariki dunia kwa kuangukiwa na kontena maeneo ya Kimara Resort jijini Dar es Salaam
  Msanii huyo aliyefariki dunia ni Thomas Senzige [29] ambaye alikuwa muongozaji wa kikundi kinachorushwa mchezo unaoendelea sasa katika kituo cha televishen cha ITV

  Senzige alipata ajali Jumamosi ya Mei 14 mwaka huu, majira ya jioni, katika eneo la Kimara Resort

  Alipata ajali hiyo wakati alipokuwa akitokea kwenye kikao chake cha harusi na kuelekea kusherehesha sherehe katika ukumbi wa Resort na alikodisha pikipiki hilo akitokea maeneo ya Manzese na alikodisha pikipiki na alipofika eneo hilo waliangukiwa na kufunikwa na kontena lililokuwa na namba T 840 na kufariki dunia papohapo

  Katika ajali hiyo pia dereva aliyekuwa akiendesha pikipiki aliyokodiwa Renatus aponali [25] alifariki dunia
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  may the R.I.P
  Inasikitisha sana maana makontena na uzito wake lazima hata watu walishindwa kuwaokoa.

  Sad
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  R.I.P,maisha dunia ya tatu ni kama uko msituni
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maskini....Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!!Pole nyingi kwa wafiwa!
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  R.I.P
  Mmetangulia na sisi tutafuata.
   
 6. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wafiwa Inasikitisha wakuu JAMANI TUJIANDAE KWANI HATUJUI SAA WALA SIKU WALA MAHALI
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  may GOD rest his soul in eternal peace
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  R. I. P. Thomas Senzige
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Poleni wanaJakaya Theater! Bila shaka mwenye jina atatoa ubani kwa familia
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mungu ametowa pia ametwaa jina la bwana liabudiwe,
  poleni wafiwa wote,wasanii na wan Jf kwa ujumla
   
 11. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  IGP inabidi atueleze kwa nini makontena mengi hayafungwi kamba - yawe tupu au yamejazwa mizigo?
   
Loading...