Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

... kwa hisani ya Glopal Publishers Tz Ltd.. WASANII PIGO Makongoro Oging’ na Rhobi Chacha Wingu la majonzi limefunika tasnia ya filamu Bongo na kutoa pigo kuu kufuatia kifo cha kutisha cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya Wana JF Bwana mtu kasikia Radio one Breaking News Naye anleta humu eti nayo ni breaking News!! Haya tujipange kuwa na habari motomoto siyo Kila kitu ni breaking News zingine ni Broken...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Speech by Mwalimu Julius K. Nyerere at the Opening Ceremony of the Second Meeting of the Council of Representatives at the U.N. Trusteeship Council in New York on the 21st September 1998 Council...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu wana JF hebu tulijadili hili la kubadilisha leseni. Nasikia unaenda kozi ya wiki2 na unalipa laki 2. Nauliza kuna nini kipya huko? Halafu hii laki2 ya nini kama siyo kutunyanganya haki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwasababu hili jukwaa lina watu wenye kada/uzoefu/taarifa mbalimbali nadhani naweza kupata majibu. Binafsi nimekuwa najiuliza maswali mengi kuhusiana na makazi ya watu yaliyopo pale kunduchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RAIA wa China, wamekufa maji baada ya kuzama wakati walipokuwa wakiogelea katika ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela amesema kuwa tukio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangazwa leo na uwezo wa kazi wa Fatma Almas. Leo ameshindwa kabisa kuelezea kwanini rwanda mfumuko wake ni mdogo kuliko tanzania, kenya na uganda. Nadhani waandishi wa tanzania naona hawajui...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani CHADEMA inazunguka nchi nzima kutafuta wanachama kwa maandamano, kwa kulipua mabomu, kuichafua CCM, kuamusha UMA, kuwatoa wananchi uoga, kudai katiba, kushinikiza n.k Maeneo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimejaribu kubishana na mtu mmoja katika hili lakini kila mmoja wetu point zinaisha,swali ni kwamba which is salty,sea or ocean?nimeangalia Wikipedia lakini tofauti siioni sasa kama yupo MJUVI...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Ni jambo kama siyo la kusikitisha na kustaajabisha, basi la kuhuzunisha kwa jinsi mambo yanavyokwenda kisiasa siasa tu wakati watu wanaishi maisha ya taabu kweli kweli nchini Tanzania. Hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uadui kati ya Osama na Waislam na Uislam, je ulisabababishwa na Osama au ulikuwepo hata kabla ya Osama?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bandugu, Majuzi sisi kama employers tumepokea barua kutoka bodi iliyotajwa hapo juu kutuagiza kuwa from now on wards tuwe tunawakata wafanyakazi wetu 10 % ya net pay yao kama marejesho ya mikopo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wa JF, Salaam, Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko...
0 Reactions
134 Replies
9K Views
Naombeni kujua wanaJF.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya Ze komedi inayorushwa na EATV. Nashindwa kuelewa hawa waandishi wa hizi comedy wanafundisha nini jamii kwa kuandika mchezo kama huu? Hasa hapo mwisho anapoenda kumgeuza huyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani watanzania hii nayo yashangaza, kama inavyo eleweka kuwa shughuli za mwenge wa uhuru huratibiwa na wizara ya kazi na maendeleo ya vijana, na kwa mwaka huu ilipangwa mwenge huo ungewashwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
According to 32 year old African Immigrant maid,Struss Khan(IMF Boss) emerged naked from a bathroom and chased her down the hallway before sexually assaulting her.Reminds me of Archimedes...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF,nasikitika kupoteza ndugu zangu watatu jana 15/05/2011 kwa matukio tofauti tofauti km ifuatavyo:- Tukio la kwanza ni mama mkubwa aliyekua mgonjwa (wa wastani ) aliyefariki asubuhi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye data kamili atupashe sisi tulioko vijijini idadi ya wanachama mpaka sasa imefikia wanachama wangapi mpaka sasa.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom