Mauaji Chuoni Muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji Chuoni Muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mnyonywaji, May 15, 2011.

 1. Mnyonywaji

  Mnyonywaji Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jamii,

  Nimepata taarifa kwamba kuna mwanafunzi ameuawa pale Chuo Muhimbili. Mwenye taarifa kamili au aliyepo karibu na maeneo hayo atujuze tafadhali.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,884
  Trophy Points: 280
  habari mbaya sana hii!! rip ....tatizo ni mapenzi siasa au itakuwa ni nini? more details pls guys
   
 3. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Sasa na wewe chizi, unakuja na taarifa ambayao haijakamilika nani kakuambia hii ni sehemu ya kuuliza?.Iyo source iliyokuambia kuna mauji yamefanyika ungeuliza vizuri wakupe taarifa za kutosha.Pia ungeweka kama tetesi maana huna uhakika
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,884
  Trophy Points: 280
  relax baab! jf hatuendi hivyo
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  ameuawa au ameuliwa?
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni kweli taarifa yake si kamilifu, lakini kumwita hivyo ulivyomwita, wewe ndiye unashangaza kuliko taarifa alizoleta!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Acha hizo wewe, jf tunaitegemea kwa kupata taarifa.....kama huna taarifa tulia kuliko kumuita mwenzako chizi, walio na taarifa watajibu!
   
 8. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu hasira za nini?
   
 9. Mnyonywaji

  Mnyonywaji Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Domo Zege, no wonder umechagua hili jina, usiwe na hasira lakini maana taarifa zaidi utazipata tuu humu humu, mimi nina uhakika na taarifa hii sema nimekosa taarifa zaidi kwa haraka kutokana na namna nilivyozipata.

   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kiburi si maungwana,muheshimu mkubwa kwa mdogo nawe upate kuheshimiwa,kama busara imekwisha kwako basi waweza jiondoa JF ili kupunguza hasira zitazo kukabili kwa kila usomapo Threads za wana JF

  Tuendelee kusubiri wenye majibu watatupa,kwani habari hupatikana kwa mtindo huu wa kuuliza na kujibiwa kwa wale wanaojuwa chanzo cha habari husika
   
 11. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sio mwanafunzi, alikua ni mwizi alitaka kuiba laptop kwenye chumba cha binti mmoja hivi, lakini yule binti alishituka na kupiga kelele, hata hivyo jamaa alikimbia na kujificha.
  Alipotafutwa alikosekana, zikatolewa taarifa kwa walinzi wa getini, hali alipokua shwari jamaa alitoka mafichoni na kujaribu kutoka, ndipo alipokamatwa na kupigwa adi kifo.
   
 12. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kijana mwenyewe alikua anaishi tambaza, alisoma shule ya msingi muhimbili, akajiunga na Azania secondary school, ila akumaliza, aliishia kidato cha tatu.
  Ni habari za kusikitisha, ila kibigo chake kimetokana na hasira kubwa ya wanafunzi kwani wizi wa laptop anaongezeka, mpaka sasa takribani laptop 15 zimeshaibiwa.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  RIP mwizi wa laptop
   
 14. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tukio lilitokea usiku, mida ya saa sita
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thank you Guyton (hili likitabu linanikumbusha mbali sana... i hope umetumia kinunda vizuri

  thank sana kwa taarifa, ukweli ni kwamba muhimbili university imekua victim sana wa wizi... nakumbuka in teh nineties wakati tunasoma pale tulikua tunaibiwa sana tukachoka na kutandika vibaka, in one year about 8 were killed and others we decapitated (au lkulemaa mawodini) hadi wakatukoma

  ushauri wangu ni kwamba ... serikali imeshindwa kulinda noble profesionals, fanyeni mnachoweza kujilinda kuna siku watawaelwa
   
 16. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante kwa taarifa. Hata wangekuwa wamechukua laptop nyingi kiasi gani, thamani yake si uhai. Kuna haja ya wanaharakati kuwageukia wanafunzi walioko vyuoni kuelezwa njia sahihi ya kumshughulikia mhalifu. Hata yakiwekwa matangazo kwenye mbao yataokoa maisha ya watu. Kuna tatizo la wizi kweli tena si kwa wanafunzi tu, lakini wizi wowote haufanani na uhai. Hapo katika wanafunzi wapo wanaopinga adhabu ya kifo kupitia mahakama lakini wapo tayari kuona mtu akiuawa kwa wizi wa laptop.
   
 17. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele kaka. Naona unajisifia killings enh!! Ya mwanadamu mwenzako. Na kusema serikali inashindwa kulinda proffesisionals as if watanzania wengi ambao si professionals kwao ulinzi si stahiki. Haya ni mambo ya kibinafsi saana. Kama watu wangekuwa wanauwa nadhani asingebaki mtu. Wale madaktari wanaoiba muda wa mwajiri na kufanya mambo yao, wanaoiba dawa, rushwa nk. Huwezi kukaa na kuandika kuusia killings, I am sure sio wewe, something is wrong somewhere.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aiseee sidhani kama ni haki kuondoa uhai wa mtu kwa laptop tu??Kwani aliyeibiwa atapoteza uhai kwa kupoteza hiyo laptop!??Vibaka watazidi kuwepo kwasababu hali ya maisha nayo inazidi kua mbaya sasa wauwawe mpaka wafike wangapi ndo watu wawe na huruma???Tungekua tunawaadhibu mafisadi hivyo angalau tungepata mabadiliko kweli!!!

  Nwy RIP kwa kijana wa watu!!!
   
 19. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawa wezi hawana utu !mtu anaenda kusoma wodin ili aje kukutibu unamuibia au sometimes kibaka aliyeponea chupuchupu kufa kwa kipigo anatibiwa na daktari then anakuja kumpiga daktari loba ya mbao.
  Naungana na MTM kwa kuwa serikali imeshindwa kuweka mazingira mazuri kwa proffesionals wetu kusoma au kufanya kazi basi kilichobaki ni kuish kibabe tu!mkishika mwingine tieni kibiriti kabisa!
  RIP.
   
 20. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndio risk ya wizi, imekula kwake mazima
   
Loading...