Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Toa Maoni ya katuni Mvua zilizonyesha juzi na jana katika Jiji la Dar es Salaam, zimesababisha maafa makubwa vikiwemo vifo vya watu 13, kuharibu makazi na miundombimu. Wakazi kadhaa katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kama Unaenda tegeta, africana, mbezi beach,unatoka k/koo, ubungo au posta, unapanda gari la mwenge unashuka. ukisha shuka unapanda gari ya mwenge to bondeni kawe unashuka lakini kwa sababu bondeni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika Rai ya Jenerali Ulimwengu ya "Miaka 50 ya Tanganyika, maswali hamsini ya kujiuliza" (Raia Mwema no.218), swali la 32 Jenerali ameuliza; "Ni kwa nini Watanzania walio ughaibuni wanafanya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimejaribu kutafuta kwa nini waandishi wa habari wanapenda kujiita "wapiganaji" lakini sikufanikiwa kupata information zozote. Kama kuna mwandishi yoyote wa habari hapa au MwanaJF yoyote anayejua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi naona sijui kama anawakomoa, maana wananchi waliompigia kura wanalalamika sana. Kwanza mwaka 2005 aliwaahidi maisha bora, lakini hawakuyapata. Mwaka 2010 wakateleza tena wakampa- hapa ndo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete akiangalia athari ya mafuriko ya Msimbazi katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam leo wakati alipofanya ziara ya kukagua athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Mh mbunge wa mafia kwa kweli kaniacha hoi sana, kwa kweli yeye ndiye star wetu kwa kushirikiana na wananchi kupunguza maafa na majanga yaliyotokea. Kudos Mh M Shah. H@ki Ngowi: Mbunge Wa Mafia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dr. W. Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema Wiki iliyopita iliwekwa mada hapa kuhusu Dr. Slaa ambaye ni katibu mkuu wa Chadema kuhusu mvao wake kila anapotokea ni magwanda tu hata iwe katika hafla ya...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Wakuu, Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu habari za majanga mbali mbali ktk nchi yetu. Kila mara takwimu za serikali hutofautiana na wadau wengine kama wanahabari, taasisi za kiraia, wachunguzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa heshima na taadhima na kwa namna ya pekee kabisa, nakusalimu kiongozi wangu- amani iwe nawe. Nikiwa ni kijana mtanzania nina donge zito moyoni kuhusiana na uongozi wako, hasa unavyojitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimezunguka karibia vituo vingi vya mafuta hapa Arusha muda mchana na kila nilipofika sikupata huduma ya mafuta aina ya petroli, lakini nikaja kupata hapa Manji's karibu na Metropole. Je...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau. najaribu kutafakari lakini majibu yanakuwa haba kuhusu janga kubwa linaloendelea Tanznaia kwa sasa: mafuriko katika jiji la Dar es salaam. kuna mambo mengi katika mafuriko haya hayakai...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani ule utabiri wa watu wa hali ya hewa ni kuwa mvua zitanyesha kwa siku tano. Kimahesabu leo ndo siku ya tano kwa maana nyingine leo ni fainali. msije mkaenda viwanja aidha wakati wa kurudi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kova kasema nk marufuku kwa Waislamu kundamana leo, anayebisha ajaribu aone salam za chrismas kutoka FFU! Wakatki huohuo JK ametoa mbuzi na mchele kwa vituo vya watoto yatima ili na wao siku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys, Sorry if this question has been asked before. Please direct me to any previous similar post if possible. I would like to know, if you are a Tanzanian living abroad (say US, UK, GE or any...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi huwa kuna kitengo cha maafa ambacho kiko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Tangu tupate janga la mafuriko sijasikia pilikapilika za kitengo hiki. Ningetarajia kuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tangazo la Star Times, kila lijapo linaniacha nikiwa na maswali mengi, mno, kwamba watoto hawataki kwenda beach, wala kufanya outiside activities, kwa kisingizio wana kila kitu, yaani decoder...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
...kwanza nawapa pole ndugu zetu wote mliokumbwa na mafuliko Dar,MBEYA na wote mliopatwa na kadhia kama hii pote pote pale Tanganyika.Pili nigependa kuiomba selikari ya Uingeleza kupitia ubalozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimepata abari kuwa ngorika imepata ajali eneo la mbwewe mwenye abari zaid please Limegongwa kwa nyuma na lori la Mufindi lililokuwa linataka ku-overtake na liliposhindwa kulikuwa na gari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani mimi naandika ka kitabu kuhusu Muungano wa Tanzania, sasa rejea kichwa cha habari hiki hapo juu, hivi ilipozama MV Bukoba kuna yeyote mwenye kumbukumbu jinsi SMZ (Serikali ya Mapinduzi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom