Kwa Wenye Kumbukumbu ya Kuzama Meli ya MV Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wenye Kumbukumbu ya Kuzama Meli ya MV Bukoba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mluga, Dec 21, 2011.

 1. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi naandika ka kitabu kuhusu Muungano wa Tanzania, sasa rejea kichwa cha habari hiki hapo juu, hivi ilipozama MV Bukoba kuna yeyote mwenye kumbukumbu jinsi SMZ (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar) na wananchi wa Zanzibar walivyochangia katika maombolezo ya janga hili?
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  si jambo jema waungwana kuwachangia makafiri
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Ubaguzi ni tabia ya ukafiri au si tabia ya ukafiri?

  Ukarimu ni tabia ya kiungwana au si tabia ya kiungwana?
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unatuambia "rejea kichwa cha habari" wakati tushakisoma hata kabla ya kufungua thread?
   
 5. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Jaribu kumchek Mussa (wa uswazi) wa EATV. Ameandaa detailed story za ajali za meli. programme inaitwa SAFARI YA NUNGWI.
   
 6. M

  Madaraka Amani Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wenyewe wa Unguja na Pemba wasema wao wameolewa bara. Kazi ya kutunza nyumba kazi ya mume, mke atachangia akipenda. Hii ni nukuu kutoka kwa rafiki yangu Osama mpemba.
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  mimi sijakuelewa....
   
 8. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Mambo ya kuagalia ubara na uzanzibari katika kila jambo umeanza miaka ya karibuni hasa baada ya kuanza siasa uchwara za udini na muungano. Huko nyuma lilipotokea janga la MV Bukoba hayakuwa na umuhimu. Sidhani kama kuna rekodi yoyote iliyochambua michango kinchi, kimikoa, kiwilaya au hata kimataifa. Kwenye janga hakuna anayejipanga kuweka takwimu kama hizo. Labda utembelee archives za magazeti unaweza kupata mtazamo fulani kutokana na ripoti za walioguswa na janga na kutoa misaada ya aina mbalimbali. Lakini nahisi utafiti wako ni wa kichokozi/kipuuzi wenye nia ya kuendeleza mijadala isiyo na tija.
   
Loading...