Kwa nini waandishi wa habari wanajiita wapiganaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini waandishi wa habari wanajiita wapiganaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EMT, Dec 21, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kutafuta kwa nini waandishi wa habari wanapenda kujiita "wapiganaji" lakini sikufanikiwa kupata information zozote. Kama kuna mwandishi yoyote wa habari hapa au MwanaJF yoyote anayejua, anaweza kunifafanulia kwa nini waandishi wa habari wanajiita "wapiganaji" na huwa "wanapigania" nini?
   
 2. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  wanajiita wapiganaji kwasababu wanakuwa wakwanza kutetea haki za wananchi kwa kutuandikia habari ambazo wenyewe walishachakachua ndo mana wanajiita hvyo
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo upiganaji upo wapi? Kutetea haki za wananchi au kuchakachua?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hili ni swali zuri lwa kweli

  binafsi naona waandishi wengi wa habari hasa hapa Tz
  wanafanana na wanasiasa......wanajiweka kwenye nafasi za 'ushujaa' kwa wananchi
  bila kustahili.....
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Sio wapiganaji tu pia wanajiita mlingoti wa nne wa dola.

  eti baada ya mahakama, bunge na serikali ni uandishi habari. Nadhani mlingoti wa mwisho wa ola ni ualimu. Its about statu quo

   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha mi mwana habari lakini sikuwah kujioachika majina ya kipuuzi kama haya eti mpiganaji..napigania nini bahasha ama?? maana ukitaka kumuudhi mwanahabari mualike kwenye event yako usimpe helaa..utachekea chooni..tbag naugulia maumivu ya ban

   
 7. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Halafu wenyewe wanarecord ya kila mwanasiasa kwenye kitengo cha bahasha;kwa mujibu wao anaeongoza kwa bahasha nono akiwaita ni bwana Lowassa!!
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Duh! Sijawahi sikia hii ya mlingoti wa nne wa dola.
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  EMT Hiyo Ipo inasemwa semwa semwa sana tu mbona. Sio official lakini ndio hivyo.
  Ni kama wenzetu wa fani nyingine wanajiita leerned brothers and sistesr lakini bado taifa linaingia Mikataba ya kirichmond kibao na yote inaptia na upata baraka zao.


  Lol wasije wakaanza kunishambulia. Kama una mpango wa kuwa mwanasisa epuka ugomvi na wanahabari na wanasheria. Wengine unaweza kupelekeshana nasi tu.

  Hii ya wandishi kuwa mlingoti wa nne wa dola sio hapa bongo tu hata majuu. Nasikia huko UK Cameron naye alipata cheo sababau tu ya vyombo vya habari vyenye nguvu vya bepari mmoja kumchafua fua G. brown. Na ukichaganya kaa bongo sura ya mgombea nayo ni kigezo kw abaadhi ya wapiga kura lol ...........

  Sasa nasom soma kuwa limeanza kusanuka kumbe walikuwa wanafanya mpaka hacing ya simu ya wanasiasa na watu maarufu......


   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  EMT hili swali lako ni la msingi sana, natamani tungepata waandishi wa kweli wakatujibu.
  Mwanzoni mimi nilikuwa nadhani wanajiita hivyo kwa kuwa wanajifananisha na wale wa Reuters sijui na AlJeezira ambao wanareport mpaka habari za vitani. Utamkuta mwandishi wa habari anakwepa risasi na kamera yake> But hawa wa kwetu mh nahofia kuwasemea kwani sijui kwa nini wamejiita hivyo ilhali hata kwenye vikao vya mafisadi wanaogopa. Ni wachache sana kwa kweli wenye stahiki hii kama kina Jerry Muro. Wengi wao nawaona wanapenda kureport habari nyepesi tu tena wakishagawiwa bahasha.
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wanapigania freedom of information
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mwali hii nayo wanahitajika kutufafanulia vizuri wanamaanisha nini by Freedom of Information maana ina mashaka kama hata hizo information wanazozipata freely bado wanachakachua !!
   
 13. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,071
  Likes Received: 7,553
  Trophy Points: 280
  .......Labda ni kwa namna wanavyokimbizana na kupiga chenga ili kuikwepa mitego ya Polisi na PCCB, na hata wakati mwingine kuitegua baada ya kunaswa muulize Charles Mulinda kuhusu hili...
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  .....labda Kupigania kupata picha katikati ya mabomu y machozi wakati vyuo vinavyogoma!!
   
 15. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mara ya kwanza nilvyosikia nilidhani wanajeshi wameamua kuwa waandishi wa habari. Kama hapo chini

  Mwandishi wa Habari Mkongwe wa kampuni ya the Guardian, Mpiganaji Tryphone Blassius Mweji (katikati) akitunukiwa tuzo ya kuwa Mwanachama wa Heshima wa Klabu za Lions ( Lions club International honorary member) kutoka kwa Gavana Wilson Tumwine wa Uganda, kwenye haflailiyofanyika jijini Dar. Anayekabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Gavana ni Mwenyekiti wa Baraza la klabu za Lions za Uganda na Tanzania, Bw. Safdar Jaffer

  Source: MICHUZI: mpiganaji tryphone mweji atunukiwa uanachama wa heshima wa Lions Club International

  [​IMG]
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Katika hayo mapigano wamesha achieve nini so far?
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Si wanakusaidia kuchangia mawazo yako on JF?
  Tena nimeskia kua mi na wewe tuna undugu, that makes you interesting.
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Inabidi tukapime

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kupima nini?
  Wanasema Ndugu ni rafiki ulie pewa na Mungu, na rafiki ni ndugu ulie jichagulia. Kwa vile sitaki kuchaguliwa na mtu nakupenda kama rafiki, sio kama ndugu. full stop!
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Na wapiganaji wako kundi lipi?
   
Loading...